๐ *Yatoa angalizo kuhusu bei za umeme* Na Madina Mohammed CHALINZE Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua utekelezaji wa miradi ya usambazaji umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) mkoani Pwani. Mara baada ya ukaguzi huo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Dkt. David Mathayo ameishauri Serikali kuangalia gharama […]
DAR ES SALAAM Mlimani city Ikiwa leo ni miaka mitatu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi wamemshukuru Mhe. Rais kwa maono na maelekezo yake katika sekta za maliasili […]
๐ Aagiza kuanzishwa kwa Kitengo cha Nishati Safi ya Kupikia ๐ Lengo ni kutekeleza Ajenda ya Rais ya Nishati Safi ya Kupikia ๐Aagiza Matumizi ya CNG kupewa kipaumbele ๐Ataka huduma bora kwa wananchi ๐ Akumbusha vyeo visiwe sababu ya kiburi na majivuno kwa watendaji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko ameagiza […]
DAR ES SALAAM Mwakilishi wa Tanzania wa Mashindano la Mrembo wa Dunia (Miss World 2024)Halima Kopwe amewaomba wadau mbalimbali kuwekeza kwenye tasnia ya urembo kama inavyofanya vilabu mpira ili vijana wengi kupenda tasnia hiyo na kuweza kuitangaza Tanzani Kimataifa. Akizungumza Machi 13, 2024 na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati akizungungumzia kuhusu ishiriki […]
Madina Mohammed DAR ES SALAAM Kampuni ya mtandao ya michezo ya kubashiri nchini Tanzania HELABET na Mwanamitindo na muigizaji Wema Sepetu wameingia makubaliano rasmi ya kufanya kazi Kwa pamoja Kwa kipindi Cha miezi 6 Kwa kuwa balozi wao Wema sepetu Amesema kuwa amekuwa wanafamilia Katika namba moja ya kampuni ya HELABET ya online “Mimi huwa […]
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso leo tarehe 14 Machi 2024 amefija Makao Makuu ya Shirika la Maendeleo Ufaransa AFD ambapo amekutana na kuwa na mazungumzo na Uongozi wa Shirika la Maendeleo Ufaransa AFD ukiongozwa na Marie-Hรฉlรจne Loison Naibu Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maendeleo Ufaransa AFD Mazungumzo hayo yamejikita katika uwekezaji na utekelezaji wa […]
*Vitachimbwa visima vya ziada Zaidi ya 30 vya Bahari *Jumla ya futi za ujazo zilizogundulika trilioni 57.54 zote ni za gesi asilia MADINA MOHAMMED DAR ES SALAAM Mamlaka ya udhibiti mkondo wa juu wa petroli(PURA) na Chuo Cha Bahari Dar es salaam(DMI) Leo wametiaa Saini mkataba wa hati ya mashirikiano Hati hiyo inayohusu Mashirikiano Kwenye […]