Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na matumizi ya makosa ya kimtandao kimeendelea na kazi ya ufuatiliaji na kufanikiwa kwa mara nyingine kuwakamata watuhumiwa Claudian Makaranga mwenye umri wa miaka (28) mkazi wa Kawe, Kinondoni na […]
Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Dowei Care Technology ambao ni wazalishaji wa Taulo za kike na za watoto (SOFTCARE) kesho wanatarajia kutoa msaada wa bidhaa zao katika hospital ya Taifa ya Muhimbuli katika kitengo cha huduma za mama mtoto lengo likiwa kuendelea kumsaidia mwanamke kujisitiri pindi anapokuwa kwenye siku zake za hedhi. Akizungumza leo Machi […]
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ni Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Maji Tanzania na Siku ya Maji Duniani. Maadhimisho hayo yanafanyika Mtumba jijini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi na wadau mbalimbali wa maji kutoka Serikalini na Sekta Binafsi. “UHAKIKA WA MAJI KWA AMANI NA […]
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili wilayani Mafia mkoani Pwani kufanya ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo, leo tarehe 22 Machi 2024. Bashungwa amepokelewa pia na Mbunge wa Mafia ambaye pia ni Naibu Waziri wa Elimu, Omary Kipanga pamoja na viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi. […]
DAR ES SALAAM Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba amezindua Kamati ya Kupitia Majukumu na Maboresho ya Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim zamani Chuo cha Diplomasia. Akizindua Kamati hiyo leo tarahe 20 Machi 2024 jijini Dar es Salaam, Mhe. Makamba amesema kazi kubwa […]
ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za poleย ย kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi Nasibu Abdul Juma almaarufu Diamond Platinumz na ujumbe wake Ikulu Mnazi Mmoja tarehe 20 Machi 2024. Aidha Rais Dk.Mwinyi ameushukuru uongozi wa Wasafi kwa kuja kumfariji na kushiriki katika mazishi […]
๐ *Yaridhishwa na namna Serikali inavyotenga Fedha miradi ya Nishati* ๐ *Yataka Wizara kuongeza kasi kwenye utekelezaji wa bajeti 2023/2024* ๐ *TANESCO Yatakiwa kuimarisha miundombinu ya kusafirisha umeme* ๐ *Wizara yaahidi kutekeleza maagizo ya Kamati* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya wizara ya […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa TAMISEMI wametoa taarifa kwa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2023 kuhusu fursa ya kubadilisha machaguo ya Tahasusi za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Ualimu, Vyuo vya Kati na Elimu ya Ufundi kwenye mfumo wa kielektroniki […]