Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amewahakikisha Wananchi upatikanaji wa huduma ya maji katika maeneo ya Vijiji na Kata zilizoathiriwa na maporomoko ya matope kutoka Mlima Hanangโ yaliyopelekea miundombinu ya maji kuharibiwa na kusababisha madhara ikiwemo vifo, majeruhi na uharibifu wa mali. Waziri Aweso ameeleza hayo leo tarehe 06 Disemba 2023 akizunguka katika maeneo hayo […]
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Islaah Islamic Foundation Dkt Alhaji Hassan Sulle ametoa wito kwa Makampuni,Mshirika,Taasisis na Watu wenye Uwezo kuchangia Jumuiya ya Akhlaaqul Islam (JAI) Kinondoni ili iweze kuendelea kutoa huduma kwa watu wenye uhitaji ikiwemo wagonjwa Mahospitalini. Wito huo ameutoa Mwishoni mwa wiki Jijini Dar es salaam wakati akiongoza kongamano la harambeee ya […]
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kazi ya kuondoa tope inaendelea na shughuli kubwa inayofanyika kwa sasa ni kufungua mitaa yote ya mji wa Katesh na kurejesha mji katika hali yake ya awali kwa kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea. Ameyasema hayo mapema asubuhi hii wakati wakikagua kazi zilizofanyika ambapo aliambatana na Waziri wa Nchi, Ofisi […]
Kilimanjaro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa viongozi mbalimbali Serikalini kuhakikisha kuwa, kazi walizonazo wanazifanya kwa bidii kubwa na kuacha alama nzuri kwa wananchi, hivyo ni muhimu kazi hizo zikaonekana na kufaidisha wananchi. Amesema hayo tarehe 5 Desemba 2023 wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa […]
WIZARA YA AFYA NA BARAZA LA TIBA ASILI NIMLI NA TAASISI YA DAWA ASILIA LIMEOMBWA KUONGEZA VIFAA TIBA
Wizara ya afya na Baraza la Tiba Asili Nimli na Taasisi ya utafiti dawa ASILIA limeombwa kuongeza nguvu Katika vifaa TIba Ili kufanya tafiti za TIba Kwa kina Hayo yamesemwa Leo 04,2023 Mkurugenzi mkuu wa Islaam Islamic foundation Alhaj Dkt.Sule Amesema Tanzania tunahuwaba wa kufanyia tafiti Kwa wakati mwingine huduma za Tiba Asili zipo Chini […]
Na Said Said, WMJJWM- Dodoma. Baraza la Taifa la Wazee limeaswa kushirikiana na Serikali pamoja na wadau mbalimbali katika kurekebisha na kusimamia maadili mema ya Taifa. Rai hiyo imetolewa Oktoba 04, 2023 na Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Tulo Masanja alipomwakilisha Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, […]
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Ndugu Anamringi Macha, kimekabidhi msaada wa vitu vyenye thamani ya Tsh. 10 milioni, โkuwashika mkonoโ waathirika wa maafa yaliyosababishwa na mafuriko ya maji na matope, huko wilayani Hanang. Akikabidhi msaada huo kwa waathirika hao mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa […]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na majeruhi 116. โKati ya waliofariki wanaume ni 23 na wanawake ni 40. Miongoni mwao, watu wazima ni 40 na watoto ni 23. Kwa watu wazima, wanaume ni 14 na wanawake ni 26; kwa watoto, […]