Na Madina Mohammed Baada ya kupotea Kwa Muda mrefu kidogo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango Amesema yamesemwa mengi sana na wengine wanasema kuwa yeye ni mzuka Ameyasema hayo Leo Tarehe 10 Desemba 2023 wakati akiwa katika Ibada ya jumapili Katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa […]
Na Richard Mrusha Dodoma AFISA Utumishi wa Chama cha walimu Taifa CWT Neema Ezekia Amesema maadhimsho ya siku ya walimu Duniani Kwa utaratibu wa Chama hicho taifa yanafanyika kila baada ya miaka minne na mwaka huu yalikuwa yafanyike Novemba 4,2023 Kwa ratiba iliyokuwa imepangwa. Amesema kuwa maadhimisho ambayo yamefanyika katika ngazi za Wilaya ni Kwa […]
Mpango wanufaisha watoto milioni 8.8, RITA kuendelea kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wa umri chini ya miaka mitano bure bila malipo MKOA Wa Dar es Salaam umefikiwa na mpango wa usajili watoto wa umri chini ya miaka mitano ukiwa ni Mkoa wa 26 kufikiwa na mpango huo ulioanza Juni 2013 ambapo jumla […]
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa ufafanuzi wa Changamoto iliyotokea katika daraja linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es salaam katika barabara ya Tegeta kuelekea Bagamoyo kwa kueleza kuwa timu ya wataalam imeshafika kufanya tathimini ya daraja hilo. Bashungwa ametoa pole kwa Wananchi na watumiaji barabara hiyo kwa shida wanayoipa kutokana na kusitishwa kwa matumizi […]
Na Madina Mohammed Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF )kwa Kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori( TAWA ) zimefanya Warsha kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa wataalamu wa Sekta ya Benki pamoja na Mawasiliano ili kuweza kushirikiana kwa pamoja kudhibiti Maliasiri. Akizungumza na Waandishi wa Habari kando ya Warsha hiyo iliyofanyika Desemba 7 ,2023 jijini […]
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Joel Laurent, amekusanya kiasi cha tani 78.5 za mbolea zenye thamani ya shilingi Milioni 129,449,094 kutoka kwa wadau wa mbolea zitakazokabidhiwa kwa waathirika wa mafuriko ya tope yaliyotokea Wilayani Hanang katika mji mdogo wa Katesh hivi karibuni. Laurent amekabidhiwa kiasi cha tani 65 za mbolea […]
SERIKALI imeendelea kupokea misaada mbalimbali ya kibinadamu kwa ajili ya kusaidia waathirika wa maafa ya mafuriko na maporomoko ya mawe na tope kutoka mlima Hanangโ mkoani Manyara. Akipokea misaada hiyo kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama hii leo Disemba 07, 2023 Waziri wa Maliasili […]
Zoezi la kurejesha mji wa Katesh katika hali yake ya awali ili kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea, imefikia katika hatua nzuri ambapo asubuhi ya leo tarehe 07 Disemba 2023 Maduka na huduma nyingine zimeanza kurejea katika hali ya kawaida. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akishirikiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge […]