Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameitaka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kujipambanua ili kuhakikisha inatekeleza majukumu yake ipasavyo na kukua katika utangazaji utalii. Ameyasema hayo leo Desemba 13,2023 jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kikazi katika Makao Makuu ya Bodi ya Utalii Tanzania. โTunatamani tuache alama , nataka shirika hili […]
Chama Cha Wananchi-CUF kikiwa kinaendelea kufanya hadhara Katika ngazi za kata na wilaya Katika maeneo mbalimbali Ili kujiimarisha Katika chaguzi zijazo Kwa Takribani mwezi mmoja Sasa,Jeshi la polisi limeweza kujiingiza Katika siasa ya kukwamisha mikutano ya hadhara ya chama Cha wananchi CUF hususani kwenye ngome za CUF Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa habari,Uenezi na Mawasiliano […]
Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) wametakiwa kuleta mageuzi katika utoaji huduma bora kwa watalii na wageni wanaotembelea nchini ili kuitangaza vyema Tanzania na kuongeza idadi ya watalii wanaokuja nchini. Hayo yamesemwa leo Desemba 12, 2023 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) kwenye mahafali ya 21 ya Chuo cha […]
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh Dr Abubakar Zuber Ali Mbwana amempa pole Raisi wa Tanzania Mh Dr. Samia Suluhu Hassan kufuatia maafa yaliyojitokeza katika Wilaya ya Hanang Mkoani Manyara. Mh Mufti ameyasema hayo Disemba 12 Ofisini kwake Bakwata Makao Makuu wakati akizungumza na Waandishi wa Habari mara tu baada ya kurejea nchini Tanzania […]
DAR ES SALAAM: Na Madina Mohammed Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele โSteve Nyerereโ amewaomba watanzania kuwachangia huduma za vitu mbali mbali waathirika wa mafuriko Hanang. Akizungumza na waandishi wa habari juu ya Programu ya Mama amstiri Mwanamke jijini Dar es Salaam Steve Nyerere amesema kuwa taasisi hiyo imelenga kutoa taulo […]
Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023. Familia ya Dr. GeorDavie imethibitisha kutokea kwa msiba huo wa […]
Na Richard Mrusha Simanjiro UONGOZI wa Kampuni ya Franone Mining and Games limetd inayojishughulisha na uchimbaji madini ya vito ( Tanzanite) imeungana na watanzania wengine na Serikali katika kuchangia mahitaji mbalimbali ya chakula Kwa wahanga wa mafuriko wilayani Simanjiro mkoani Manyara . Akizungumza na waandishi wa Habari Disemba 10,2023 Meneja Mkuu wa kampuni hiyo Vitus […]