Awakumbusha waliotoa ahadi zao kuzikamilisha ili kuendelea kuiwezesha Taasisi ya Professor Jay Foundation_ Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , ametimiza ahadi yake ya kumchangia Tsh Milioni 10 kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi na Mwanamuziki wa (HipHop) Nchini Bw. Joseph Haule Maarufu […]
Taasisi ya Mtetezi wa Mama hii leo imesema kuwa inatarajia kuungana na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa January 27/2024 kwa namna ya kipekee ikiwemo kutoa misaada mbalimbali kwa wahitaji. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mohammed Chande amesema kazi kubwa ya Taasisi […]
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda amesema Chama Cha Mapinduzi kinaipongeza Wizara ya Kilimo chini ya Waziri Bashe kwa kuendelea kusimamia vema na kuonesha Tija kwa wakulima Nchini. Mwenezi Makonda amesema kulingana na Takwimu, inaonesha kuwa kwa mara ya kwanza uzalishaji wa zao la […]
> Atoa mrejesho wa Ziara ya Idara ya Uenezi katika Miko ya Kanda ya Ziwa > Asema zaidi ya Mikoa 25 imefikiwa na Waziri wa Ardhi kwa utatuzi wa Migogoro ya Ardhi, Matokea chanya yaonekana. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ametoa mrejesho wa ziara […]
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa. Akitembelea miradi mbalimbali DC Victoria amesema kuwa Lengo la ziara hii ni kuhakikisha kuwa Wana-Ludewa wanapata huduma ya Maji bora, safi, salama na yenye kutosheleza Sambamba na kuonesha kazi kubwa inayofanywa na Mheshimiwa Rais Dkt. […]
Naibu waziri wa mambo ya Ndani Dkt Maduhu Rack Kazi Amesema Wahamiaji wenye ujuzi ni chachu nzuri Katika ustawi wa jamii husika hata KatikaTaifa Ambalo walilofikia Kwa wakati huo Amesema Wahamiaji wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali zingiwemo Kwa kubaguliwa kunyanyaswa pamoja na changamoto za hali ya kimaisha Katika usalama wa familia zao kwani wanaitajika kujifunza […]
DAR ES SALAAM:Madina Mohammed Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mkoa wa Dar es Salaam Mh.Janeth Masaburi amezitaka taasisi za serikali zinazohusika na ujenzi wa nyumba za makazi kama NHC kubuni majengo ya wapangaji kwa wananchi wa kipato cha chini ili kulipanga jiji la Dar es salaam. Wito huo ameutoa leo Disemba 14,2023 wakati wa ziara ya […]
Aalika wawekezaji sekta ya uvuvi Tanzania Bara na Zanzibar WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Saudi Arabia nchini, Yahya Ahmed Okeish na kujadiliana masuala mbalimbali yakiwemo ya kilimo, uvuvi na uwekezaji. Akizungumza na balozi huyo leo (Jumatano, Desemba 13, 2023) ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Waziri Mkuu amesema anatambua matunda ya uhusiano wa […]
Wizara ya Maliasili na Utalii imevunja rekodi kwa kukamilisha ujenzi Jengo jipya la Ofisi lililopo kwenye Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma, na kuruhusu sasa Jengo hilo kutumika rasmi. Akipokea Jengo hilo, Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi amesema kukamilika vyema na kwa wakati kwa Jengo hilo, ni matokeo chanya ya […]