Na Allan Kitwe, Tabora KANISA la Tanzania Assemblies of God-Kitete Christian Centre (KCC) la mjini Tabora limempongeza Rais wa awamu ya 6 Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani, utulivu na mshikamano wa Watanzania wote. Akitoa salamu za krismas katika ibada iliyofanyika leo kanisani hapo Askofu Mstaafu wa Kanisa la TAG Jimbo la Tabora […]
Na Mwandishi wetu, Hanang Waathirka wa maafa yaliyotokea wilayani Hanang mkoa wa Manyara, Desemba 3, mwaka huu, wameendelea kunuifaika na misaada mbalimbali ya kibinadamu iliyotolewa na wadau pamoja na serikali, baada ya serikali kuongeza kiwango cha ugawaji wa misaada kwa kaya kutokana na ongezeko la misaada inayoendelea kupokelewa kutoka kwa wadau. Awali, serikali ilikuwa ikiwagawia […]
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amezihimiza taasisi za kijamii kuweka mkazo katika elimu ya ufundi na ujasiriamali, ili kupata mwarobaini wa tatizo la ajira na kuzalisha wataalamu wengi zaidi wa fani mbalimbali. Kinana ameyasema hayo leo, Desemba 24, 2023, jijini Arusha, alipokuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa 10 […]
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Paul Christian Makonda ameendelea kutoa wito kwa Viongozi wa Dini mbalimbali nchini, kuendelea na moyo wa imani wa kuiweka katika maombi nchi yetu, pamoja na Kiongozi Mkuu wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika […]