-Asema Sijaridhishwa na kasi ya Mkandarasi ujenzi wa barabara hiyo amtaka kufanya kazi usiku na mchana -Asistiza usafi wa mazingira pamoja kupanda miti na bustani ili kupendezesha jiji. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 18,2024 amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa BRT awamu ya tatu kutoka katikati […]
-Akerwa na mazingira ya uchafu Coco beach -Asema Coco beach ni ya wanyonge akemea uendelezaji usio na tija katika fukwe hiyo ya Coco beach Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila katika muendelezo wa ziara yake leo April 18,2024 amatembelea fukwe ya Coco beach Wilaya ya Kinondoni Jijini humo. Akiwa katika eneo […]
Katika kuhakikisha usalama wa maisha ya watu wilayani Rufiji, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imefanya msako wa mamba wanaotajwa kutishia maisha ya watu kutokana na kusogea karibu na makazi ya watu kufuatia kusafirishwa na mikondo ya maji yaliyosababishwa na mafuriko. Afisa habari wa TAWA Beatus Maganja akizungumza na waandishi wa habari katika […]
Benki ya Akiba (ACB) imezindua rasmi huduma ya kadi za VISA ambazo ni mahususi kwa kufanya huduma za miala ya kifedha ambapo inauwezo wa kutumika sehemu yoyote Duniani. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo wa ACB VISA, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo ,Silvest Arumasi amesema kwamba Benki ya ACB inafanya maboresho makubwa ya huduma za kifedha […]
Na Mwandishi Wetu Asema limepunguza athari za mafuriko Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya Gesi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa licha ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, Bwala la Umeme la Julius […]
Na Mwandishi Wetu DODOMA Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jonsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameiasa jamii kuona umuhimu wa malezi bora kwa watoto ndani ya familia kama chanzo cha jamii. Ametoa wosia huo Aprili 18, 2024 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa Habari ikiwa ni kuelekea maadhimisho ya Siku ya […]
Na Mwandishi Wetu TANGA Unamilikiwa na Watanzania kwa asilimia 100 Utafiti umebaini uwepo wa mashapo ya dhahabu kiasi cha tani 21.7 Kampuni ya PMM Tanzania Limited inayomiliki mgodi wa Magambazi imeanza shughuli za uzalishaji madini ya dhahabu ambapo kuanzia Agosti 2024 mgodi huo unatarajiwa kuzalisha kilo 25 za dhahabu kwa mwezi. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi […]