Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mauaji ya watu wawili, Japhari Mwinyimvua (40) mlinzi na Richard Nonyo (65) baba mzazi wa mtu anayedaiwa ni mganga wa kienyeji wa eneo hilo. Tukio hilo limetokea Aprili 21, 2024 majira ya saa 3 asubuhi maeneo ya […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya DCEA imekamata jumla ya kilogram 767.2 za dawa ya kulevya Katika mikoa ya dar es salaam,Pwani na Tanga Hayo ameyasema Leo Tarehe 22 April 2024 Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Aretas Lyimo amesema […]
*Amehimiza Wafanyakazi kushiriki michezo ili kuimarisha Afya na kuweka Mwili imara dhidi ya Magojwa Yasioambukiza Na; Mwandishi Wetu – Arusha Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe Patrobas Katambi amefungua rasmi michezo ya Mei Mosi na kueleza umuhimu wa michezo hiyo katika kuimarisha afya za wafanyakazi. “Michezo ni […]
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuyapa kipaumbele masuala ya maendeleo ya vijana nchini. Aidha, Mhe. Katambi amesema vijana ni nguvu kazi ya taifa, […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaaga viongozi wa dini 104 ambao wanaelekea Dodoma kwa treni ya mwendokasi (SGR) kwenda kushiriki ibada maalum ya kuliombea Taifa inayotarajiwa kufanyika kesho, Jumatatu, Aprili 22, 2024. Treni hiyo imeondoka stesheni ya Dar es Salaam saa 8.53 mchana ikiwa na viongozi hao, waandishi wa habari, […]
Na Madina Mohammed WAMACHINGA DAR ES SALAAM Ni za TBC Taifa, azuru studio za Bongo FM- redio ya vijana Afunga tamasha la kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua studio za kidijiti za redio ikiwa ni sehemu ya mradi wa maboresho ya studio za redio, televisheni na mitandao ya kijamii za […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Kampuni ya viatu ya Skechers kwa kushirikiana na Madaktari bingwa wa magonjwa yasio ya kuambukiza hususani miguu imewataka Watanzania kutumia viatu maalumu ambavyo vimetengenezwa kwa teknolojia ambayo itaasaidia kutibu magonjwa mbalimbali ya miguu Akizungza leo Jijini Dar es salaam na Waandishi wa habari Daktari bingwa wa magonjwa yasio ya […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Katika kipindi cha miaka 60 ya Muungano, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanikiwa kusimamia utekelezaji wa masuala ya Muungano kwa ufanisi mkubwa kwa kuimarika kwa utaifa, umoja, amani, utulivu na hali ya maisha ya wananchi kutokana na ukuaji wa uchumi wa […]
Imeshika nafasi ya Kumi kwa uzalishaji wa Kinywe Duniani Unamilikiwa na Mtanzania kwa asilimia 100 Mradi wa Uchimbaji na Uchenjuaji Madini ya Kinywe wa GODMWANGA JEMS LIMITED uliopo katika eneo la Kwamsisi, wilaya ya Handeni Mkoani Tanga unatajwa kuwa mradi wa kwanza Barani Afrika kwa uchimbaji na uchenjuaji wa Madini hayo na hivyo kushika nafasi […]