Serikali imesema hadi kufikia mwezi Machi 2024 jumla ya vijiji 11,837 sawa na asilimia 96.37 ya vijiji vyote 12,318 vya Tanzania Bara vilikuwa vimeunganishiwa huduma ya umeme. Hayo yamesema na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko Bungeni jijini Dodoma wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa […]
Serikali imesema imeanza uzalishaji wa umeme kupitia mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115, ambapo uzalishaji huo umeanza kwa Megawati 235 kupitia mtambo namba tisa. Hayo yamesema na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko Bungeni jijini Dodoma wakati akisoma hotuba ya […]
Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu kusitishiwa akaunti zao Zoezi la ufutaji wa maombi na Leseni kuwa endelevu Amtaka kila mmoja kufuatilia hadhi ya maombi au Leseni zake Waziri wa Madini, *Mheshimiwa Anthony Mavunde* amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume […]
Na Mwandishi Wetu DODOMA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko (Mb), leo Aprili 24, 2024 anawasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 katika Mkutano wa Kumi na Tano Kikao cha Kumi na Tatu. Wakati wa wasilisho hilo viongozi na wageni mbalimbali […]
-Awatoa hofu wananchi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 23, 2024 ametembelea na kukagua maeneo yaliyoathirika na mvua katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Akiwa katika ziara hiyo RC Chalamila amekagua miundombinu mbalimbali ikiwemo daraja la kibada ambapo TANROAD wanaendelea na matengenezo […]
Shilingi Bilioni 109.8 zatumika mwaka 2023/2024* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe, Judith Kapinga amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) itaendelea kuongeza bajeti kila mwaka ya matengenezo ya miundombinu ya umeme hadi changamoto ya kukatika umeme kutokana na uchakavu wa miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme itakapoisha kabisa. Naibu Waziri Kapinga ameeleza hayo […]
Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi @ Babu G. ambaye picha yake imeambatanishwa kwenye taarifa hizo kuwa alipotea tarehe 11 Aprili, 2024 na baadae kugundulika katika Chumba cha kuhifadhi […]
*Mkoa wa Tanga umebarikiwa kuwa na aina mbalimbali za madini* *Wafanya biashara waaswa kuzingatia Sheria za Madini* Wito umetolewa kwa Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika fursa zilizopo kwenye Sekta ya Madini mkoani Tanga kutokana na uwepo wa aina mbalimbali za rasilimali madini mkoani humo. Wito huo umetolewa na Afisa Madini Mkazi […]
Na Madina Mohammed DODOMA Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Ally Salum Hapi (MNEC) ametembelea na kuona treni mpya ya kisasa ya mwendokasi iliyowasili, Jijini Dodoma jana usiku ikitokea Jijini Dar Es Salaam iliyokuja na viongozi mbalimbali wa dini na serikali, wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania […]
Na Madina Mohammed DODOMA MAKAMO wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Philip Mpango amewasisitiza Wananchi na Viongozi mbalimbali waendelee kudumisha amni iliopo katika Taifa la Tanzania ili Muungano uliopo uweze kudumu na kuyaishi maono ya Waasisi katika kudumisha amani na Mshkamano hapa Nchini. Makamo wa Rais Dr Mpango ameyasema hayo katika Siku […]