Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA I Ashiriki Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji nchini humo Zaidi ya Wafanyabiasha na Wawekezaji 250 wakutana JNHPP yatajwa kuongeza uhakika wa uwepo wa umeme 📍Saudi Arabia Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji nchini Saudi Arabia litaongeza uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati kutokana na Tanzania […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana. Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani. Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya Serikali Awahakikishia Watanzania nchi ipo salama. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya leo imeteketeza kilogramu 614.12 za dawa za kulevya katika kiwanda cha saruji cha Twiga, kilichopo Wazo, Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari katika tukio hilo, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Aretas Lyimo alisema […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Atahadharisha vitendo vya rushwa kwenye Manunuzi* Dkt. Biteko afungua Kongamano la 15 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi* Ataka wasikilize sauti za watu, kutathimini utendaji kitaaluma* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wataalam wa ununuzi na ugavi nchini kizingatia misingi ya maadili ya taaluma yao […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SERIKALI imeipongeza Kampuni ya ukandarasi kutoka nchini China ya CRJE (East Africa) Ltd kwa ufanyaji kazi uliotukuka huku ikiahidi kuendelea kukuza mahusiano yaliyodumu kwa muda mrefu kati ya Tanzania na China Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Katiba na Sheria Dk Damas Ndumbaro wakati wa uzinduzi wa […]
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amemwakilisha Waziri wa TAMISEMI kuzindua mafunzo kwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa Novemba 27 mwaka huu na kuwataka kufanya kazi yao kwa uadilifu ili kuhakikisha wanakuwa kiungo bora kati ya Serikali na wananchi kwa kuwatumikia ipasavyo wananchi na kukomesha migogoro ya ardhi katika maeneo […]
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini makubaliano na Serikali ya Jamhuri ya Korea kusini kwa ajili ya ujenzi wa mradi mfumo wa uchakataji maji taka Mko wa Dar es salaam mradi utakaotumia zaidi ya dola za marekani milioni 90 Akizungumza leo Disemba 16, 2024 jijini Dar es salaam mara baada ya kushuhudia utiaji […]
Na. Lusungu Helela – Arusha. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kiongozi aliyejipambanua kwa vitendo kwa kuichukia rushwa ambapo katika Uongozi wake ameiwezesha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Zoezi la Uchaguzi wa Wanafunzi wa Kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka, 2025 kwa kuzingatia miongozo iliyotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknoloji limekamilika na wanafunzi wote wenye sifa ya kujiunga Kidato cha Kwanza wamepata nafasi ya kujiunga na Kidato cha Kwanza bila ya kuwepo kwa chaguo […]