*TARURA YAIFUNGUA MSOMERA Handeni Jumla ya Km.186 za barabara zimekamilika kuchongwa na kilometa 24 zimewekewa changarawe kati ya Km. 986 za mtandao wa barabara katika Kijiji cha Msomera, wilayani Handeni. Hayo yameelezwa na Meneja wa Wilaya ya Handeni Mhandisi Judica Makyao wakati ya ziara ya Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff katika kijiji cha […]
Shirika la Reli Tanzania limeendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ambao ardhi zao zimetwaliwa kupisha ujenzi wa miundombinu ya Reli ya Kimataifa ya SGR katika kipande cha tatu Makutupora -Tabora hivi karibuni ,Januari, 2024. Katika zoezi hilo la ulipaji fidia takribani wananchi 70 kutoka katika vijiji vya Azimio, Nyahua, Kimungi, Kazaroho, Genge 8 […]
*๐Awapongeza Rais Dkt. Samia na Dkt. Mwinyi kwa maono na miongozo yao kutekeleza Miradi ya kimkakati* *๐Aipongeza Wizara ya Maji, Nishati na Madini kupitia ZAWA kwa kukamilisha Jengo lenye ubora na hadhi ya juu* *๐Ataka ZAWA kutoa huduma bora* Zanzibar Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amefungua Jengo la Afisi […]
*Mwanza* Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amewataka Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kuongeza kasi ya ukusanyaji wa maduhuli ili kufikia lengo lililowekwa na Serikali la kukusanya shilingi bilioni 882 katika Mwaka wa Fedha 2023/2024 Waziri Mavunde amesema hayo leo Januari 06, 2024 jijini Mwanza kwenye kikao chake na Menejimenti ya Tume ya Madini iliyohusisha […]
Na Madina Mohammed *Serikali inajipa umuhimu wa juu sana kwenye swala hili la mafanikio ya hii kongani ya viwanda -*Mkoa wa pwani ni mkoa wa uwekezaji,Tunaviwanda 1525,120 ni viwanda vikubwa na vengine ni viwanda vya kati na vengine viwanda vidogo sana -*Serikali ya awamu ya sita ya Mhe rais Samia suluhu Hassan tokea imeingia madarakani […]