Na. Beatus Maganja Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA Mabula Misungwi Nyanda ameeleza kufurahishwa kwake na ubora wa viwango vya ujenzi wa karakana ya matengenezo ya magari na mitambo iliyojengwa Kanda ya Kati ya TAWA wilayani Manyoni, karakana inayotajwa kuwa ni kubwa kuliko karakana zote zilizojengwa na taasisi hiyo. Ameyasema hayo Januari 14, 2024 akiwa katika […]
Makonda awavaa Chadema, “wamezoea kuharibu utaratibu na kupotosha” Awajibu kwa hoja upotoshaji wao unaolenga kumtweza Rais Samia na kudhalilisha Watanzania Amjibu Mbowe asitumie agenda ya maandamano uchaguzi wao Awataka Mbowe, Lissu na Mnyika kwenye mdahalo kabla ya maandamano Ampongeza Lissu kupuuza maandamano, kwenda AfCON Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi […]
#Mameneja wa Mikoa wa TARURA nchi nzima watakiwa kufanya ukaguzi wa madaraja na mifereji Mwanza Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff ameagiza Daraja la Mwananchi lililopo Kata ya Mahina jijini Mwanza kuanza kukarabatiwa mara moja kufuatia kuharibiwa na Mvua zinazoendelea kunyesha jijini hapa. Mhandisi Seff ameyasema hayo […]
KLABU ya Mlandege Fc imefanikiwa kuutetea ubingwa wake mara baada ya kuichapa Simba Sc bao 1-0 kwenye fainali ya michuano ya Mapinduzi Cup ambayo ilikuwa inaendelea visiwani Zanzibar. Katika mchezo huo ambao Simba Sc ilifanikiwa kuutawala mchezo kwenye vipindi vyote licha ya kutofanikiwa kupata bao huku wakiruhusu kufungwa bao moja na kushindwa kunyakua taji hilo. […]
Mkurugenzi wa kampuni ya biashara ya mitandao Dr Queen Malugu Amesema Kuna watu wengi ambao wanaosoma wapo Kwa ajili ya kuajiliwa lakini yakati hizi ni ngumu sana kuajiliwa lakini wapo Kwa ajili ya kuisaidia serikali kwani Bado tunamitaji midogo Hayo ameyasema Leo Tarehe 13,2024 Katika Tafrija ambayo walioifanya wafanyabiashara hao pamoja na mkurugenzi wao wa […]
_Atuma salamu za Shukrani kwa Mheshimiwa Rais Samia_ Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso (Mb) amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake katika kuhakikisha majengo ya Wizara mbalimbali katika mji wa serikali yanakamilika ikiwa ni pamoja na jengo la Wizara ya Maji katika kuhakikisha wafanyakazi wa Wizara […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mamlaka ya dawa ya vifaa tiba TMDA yakanusha juu ya uwepo wa dawa duni ya matoleo ya dawa aina ya fluconazole ya vidonge ya miligramu 200 yaliyotengenezwa na kiwanda Cha universal corporation kilichopo Kikuyu nchini Kenya Tarehe 29 desemba 2023 TMDA iliweza kupokea taarifa iliyotolewa na taasisi ya udhibiti […]
Na. Beatus Maganja Kamati ya kudumu ya Bunge, Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa kwake na utekelezaji wa miradi ya mpango wa Taifa wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO – 19 iliyotekelezwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ndani ya Pori la Akiba Wami Mbiki Mkoani Pwani. Akizungumza […]
📌 *Ni wa mauziano ya Gesi Asilia na ujenzi wa miundombinu midogo ya LNG* 📌 *Kuwezesha upatikanaji wa Gesi Asilia katika maeneo yote nchini* 📌 *Asema Rais, Dkt. Samia anafuatilia kwa karibu miradi ya Nishati* 📌 *Nchi kuwa na nishati kutoka vyanzo mchanganyiko (Energy mix)* Na Madina Mohammed ZANZIBAR Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]
Dar Es Salaam Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ya Kupimia Mafuta yanayoingia na kutoka nchini Pamoja na Ujenzi wa Mapipa mapya ya Kuhifadhi Mafuta Bandarini. Mhe. Kapinga amefanya ziara hiyo Tarehe 9, Januari 2024, ikiwa ni kufuatilia maelekezo ya Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati […]