Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 117)
FEATURE
on Jan 19, 2024
313 views 30 secs

Na Mwandishi wetu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa,Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda Amewashukuru Baraza la Wazee na Wana CCM wote kwa mchango wao wa maombi ya kumpatia jambo jema ikiwa ni sehemu ya baraka na mafanikio. Mwenezi Makonda ameyasema hayo leo tarehe 19 Januari, 2023 alipopokelewa katika Ofisi […]

FEATURE
on Jan 19, 2024
257 views 44 secs

Na Mwandishi wetu KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ametoa wito na rai kwa Wanachama, Wapenzi, Wakerektwa wa CCM kujitokeza kwa wingi kumlaki na kumpokea Katibu Mkuu wa CCM Taifa Emanuel Nchimbi ikiwa sehemu ya ishara ya kumkaribisha ofisini pia naye kutoa salamu na shukrani. […]

FEATURE
on Jan 19, 2024
244 views 2 mins

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema katika kudhibiti rushwa unahitajika uongozi imara pamoja na kuishirikisha jamii na wadau kuanzia ngazi ya watoto shuleni. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akishiriki mjadala wa ngazi ya juu uliyohusu masuala ya Utawala Bora na kukabiliana na Rushwa uliyofanyika katika Mkutano […]

FEATURE
on Jan 19, 2024
376 views 4 mins

Na. Beatus Maganja Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Dkt. Vicent Anney amesema mvua za El Nino zimekuwa sababu kubwa ya ongezeko la wanyamapori aina ya mamba ambao wamekuwa wakitoka maeneo yao ya asili na kwenda maeneo ya wananchi na kuleta madhara kwa maisha na mali zao katika vijiji vya Kasahunga na Mayolo Wilayani Bunda. […]

FEATURE
on Jan 17, 2024
299 views 2 mins

Na Madina Mohammed wamachinga Dodoma Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa Serikali iliagiza tani 3,036,376 za mafuta ya taa, dizeli, petroli na mafuta ya ndege katika kipindi cha mwezi Julai hadi Desemba 2023 kwa ajili ya matumizi ya ndani ya nchi pamoja na nchi jirani. Ametoa kauli hiyo January 17, 2024 jijini […]

FEATURE
on Jan 17, 2024
360 views 2 mins

Na. Beatus Maganja Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania – TAWA amezindua mradi wa jengo la ofisi lenye jumla ya vyumba 8 vikiwemo vyumba 6 vitakavyotumika kama ofisi, chumba cha mikutano, stoo pamoja na vyoo viwili, mradi unaotajwa kugharimu zaidi ya Tsh. Millioni 250. Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa jengo hilo […]

FEATURE
on Jan 16, 2024
449 views 2 mins

Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam, Mrisho Seleman Mrisho amesema kuwa wao kama bandari wanajivunia kupokea meli kubwa ya watalii kwakuwa matarajio yao ni kupokea meli kubwa zaidi ya hiyo kwani tayari wameshafanya maboresho kadhaa ikiwemo kuongeza kina cha maji na mengine tofauti na ilivyokuwa awali kabla ya maboresho. Akizungumza na waandishi wa habari […]

FEATURE
on Jan 16, 2024
475 views 2 mins

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania, Damasi Mfugale amesema kuwa utalii wa meli ambao kwa sasa ni zao la kimkakati nchini unakwenda kukua kwa kiasi kikubwa kadri siku zinavyokwenda ambapo idadi ya watalii itaendelea kuongeza. Mfugale ameyasema hayo leo Januari 16, 2024 wakati wa mapokezi ya meli kubwa iliyotia nanga katika bandari ya Dar […]

FEATURE
on Jan 15, 2024
328 views 5 mins

Mkurugenzi wa Bandari, Mrisho Mrisho amesema kwa mwaka huu wa fedha, 2023/24 wanatarajia kuhudumia makasha zaidi ya Milioni Moja na laki mbili. Alisema kwa mwaka wa fedha 2022/23 Bandari ya Dar es Salaam walihudumia shehena Tani milioni 21.46, na malengo kwa mwaka uliopita ilikuwa ni kuhudumia Tani milioni 19.6 ambapo Tani hizo walizozihudumia walifanikuwa kuvuka […]