KAMISHNA MABULA AWATAKA MAOFISA WA TAWA KY MARISHA SHUGHULI ZA UTALII ILI KUONGEZA MAPATO SERIKALINI
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA Mabula Misungwi Nyanda amewataka Maofisa wote wa taasisi hiyo kuweka mikakati madhubuti ya kuongeza idadi ya watalii ili kuongeza mapato Serikalini ikiwa ni pamoja na kuboresha ulinzi na usimamizi wa rasilimali za wanyamapori na malikale. Kamishna Mabula ameyasema hayo leo Februari 10, 2024 […]
Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara inaendelea kupokea makundi makubwa ya watalii kutoka Mataifa mbalimbali Duniani ambao wanafika nchini mahsusi kwa ajili ya kutembelea hifadhi hiyo iliyosheheni utajiri wa kihistoria na maajabu ya magofu ya kale kwa shughuli za utalii. Kwa mara nyingine ikiwa ni kundi la tatu […]
Na. Beatus Maganja Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Mhe. Dkt. Vincent Mashinji amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imeendelea kuunga mkono jitihada za Baba wa Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhakikisha elimu inakuwa kipaumbele wilayani Serengeti. Dkt. Mashinji ameyasema hayo Februari 01, […]
Na Madina Mohamedi Tukiwa mbioni mwisho wa Msimu wa AFCON BOMBA Azam Media LTD kupitia chaneli 103 wanakuja na tamthilia ya Toboatobo itakayoanzwa kuonyeshwa Februari 9 ,2024 kuanzia Ijumaa mpaka jumapili saa moja na nusu usiku . Akitambulisha Tamthilia hiyo katika mkutano na Waasanii waliicheza na Waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam Sophia […]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali imedhamiria kuleta mageuzi makubwa katika Sekta ya Uvuvi, hivyo imeamua kutoa kipaumbele katika kukuza sekta hiyo kwa kuimarisha utendaji kazi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amebainisha hayo leo (30/01/2024) jijini Mwanza, wakati wa kukabidhi boti […]
Na Richard Mrusha Kitulo AFISA Mhifadhi mkuu wa Kanda ya Kusini Jonathan Kaihura Ametoa wito Kwa watanzania kujenga tabia ya kutembelea vivutio mbalimbali vilivyopo katika hifadhi zetu hapa nchini na hasa hifadhi ya Taifa ya kitulo iliyopo katika mikoa ya Njombe wilayani Makete. Na Mkoa wa Mbeya wilaya ya Rungwe na mbeya vijijini Amesema kuwa […]
Na. Beatus Maganja Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Dkt. Batilda Salha Burian ameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii, Bodi na Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA kwa jitihada za dhati za kukuza utalii Mkoani Tabora. Dkt. Batilda alitoa pongezi hizo Januari 15, 2024 alipotembelewa na Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA […]
*๐Dkt. Biteko asema gharama ya mafuta ni nafuu kulinganisha na nchi jirani* *๐Asema kampuni ya mafuta TANOIL inaboreshwa ili kuleta ufanisi* *๐Asisitiza PBPA ni nguzo ya Serikali katika uhakika wa upatikanaji mafuta* *๐PBPA yazidi kudhibiti upotevu wa mafuta* Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, juhudi zinazofanywa na […]
NA Mwandishi Wetu Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi , Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amempigia simu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mhe. Jery Silaa na kumpa maelekezo ya CCM ya kumtaka kufika katika Kata ya Bunju leo Ijumaa tarehe 19 na kukutana na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Josephat Gwajima […]
Na Mwandishi Wetu Katiba wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi , Uenezi na Mafunzo Ndg. Paula Makonda akutana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Dsm na Wilaya ya Kinondoni pamoja na Viongozi wengine mbalimbali kutoka Wilaya zingine 4 zinazounda jumla ya Wilaya 5 Mkoani Dsm, leo tarehe 19 Januari, 2024. Akiwa […]