DAR ES SALAAM Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Yanga dhidi ya CR Belouizdad, afisa habari wa Yanga, Ali Kamwe ameitangaza siku hiyo kuwa maalum kwa mchezaji Paccome Zouzoua ‘Paccome Day’. Mchezo huo wa kundi ‘D’ ambao utachezwa Jumamosi Februari 24,2024 utawalazimu mashabiki wa Yanga kupaka ‘Bleach’ kichwani au kwenye ndevu […]
MBEYA *Aeleza jitihada za Serikali kupunguza changamoto ya umeme* *Aipongeza Mbeya kwa utekelezaji miradi ya maendeleo* *Asisitiza siasa zisiwagawe wananchi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko, leo amewasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi mkoani humo. Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya umeme mkoani humo. Akiwa katika Uwanja […]
DAR ES SALAAM KUELEKEA siku ya wanawake Duniani inayoadhimishwa Machi 2, 2024, Mamlaka za Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia(TAZARA) wanaanda mtoko maalum kwa ajili ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kujionea vivutio vilivyopo. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kwa niaba […]
DAR ES SALAAM MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi wa mkoa huo kujiandaa na bei ya juu ya maharage Akizungumzia suala la sukari katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Februari 19, 2024 katika uwanja wa Msufini Chamazi jijini Dar es Salaam, Chalamila amesema kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha bei […]
Na. Beatus Maganja Idadi ya watalii wa kigeni kutoka Mataifa mbalimbali Duniani inazidi kuongezeka kwa Kasi katika Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara, Hifadhi inayotajwa kuwa na upekee wa utalii wa kihistoria na kiutamaduni. Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA ikiwa ndiyo taasisi yenye dhamana ya […]
Na mwandishi wetu Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan baada ya kumaliza ziara yake nchi ya VATICAN , sasa atia timu Norway kwa ziara ya Kitaifa katika hatua za kuboresha mahusiano baina ya Tanzania na Norway. Rais Samia amepokelewa na Mfalme Harald V wa Norway akiwa kama muenyeji wake na […]
Na mwandishi wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu ahudhuria mualiko wa Papa Francis Mjini Vatican,Rais Dkt.Samia katika mualiko amefanya mazungumzo na Papa Francis zaidi ya dakika 25 ikiwa ni katika kuendelea kudumisha demokrasia ya Tanzania Kimataifa. Katika mazungumzo yao ya faragha yaliyodumu kwa takribani dakika ishirini na tano, wameridhika na uhusiano […]
Ubunifu wa mbinu za kuongeza idadi ya watalii na vyanzo vya mapato nchini kwa kuanzisha mazao mapya ya utalii ni mojawapo ya mikakati inayopigiwa chapuo kwa msisitizo mkubwa na Wizara ya Maliasili na Utalii chini ya Waziri mwenye dhamana ya Maliasili Mhe. Angellah Kairuki (Mb). Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA kupitia Hifadhi […]
Kwa miongo kadhaa kumekuwa na dhana ya kwamba wageni wengi wa nje hupendelea zaidi utalii wa kuona wanyamapori, lakini hivi karibuni dhana hiyo imeanza kubadilika kwa kasi ambapo Tanzania imeanza kupokea wageni makundi kwa makundi wakitembelea katika maeneo yetu ya Malikale hususan Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara. […]