DAR ES SALAAM Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imehitimisha mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU} kutoka katika mkoa na wilaya zote nchini, yaliyofanyika kwa lengo la kujengeana uwezo na kupeana mbinu zaidi za uelimishaji Umma katika mapambano shidi ya rushwa na dawa za kulevya […]
Kampuni Best Brand Distributor leo wamefungua duka jipya la tatu la viatu vya Relaxo aina zote ‘show room’ mtaa wa Morogoro /Samora ambapo ya kwanza lipo Mlimani Cty na la pili Mtaa wa Nkurumah eneo la kati kati ya jiji Clock Tower. Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Best Brand Distributor Khalid Salim amesema […]
DAR ES SALAAM Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mtu mmoja aliyejifanya Mganga wa jadi maeneo ya Mji Mwema Kigamboni jijini Dar es Salaam na kuwanyeshwa Dawa inayodhaniwa kuwa ni sumu na kuwaibia watu 16 wa wafamilia moja. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Kamishina wa […]
Waziri wa Nchi,Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) awamu ya pili utajenga barabara za lami katika Mkoa wa Dar es salaam kilomita 250, kuanzisha mfumo wa udhibiti wa taka ngumu, masoko 18 pamoja na vituo vya mabasi tisa. Mhe.Mchengerwa ameyasema hayo leo Februari 20, 2024 jijini Dar […]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa washiriki wa Kongamano la lugha za asili kujielekeza katika kupanga mikakati itakayohakikisha Kiswahili na lugha nyingine za asili zinapata fursa katika uchumi wa kidijiti ili kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika sekta hiyo. Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa […]
Na Veronica Simba – REA Bodi ya Nishati Vijijini (REB) inayosimamia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imesema inategemea mafanikio makubwa katika kuiwezesha Wakala hiyo kutimiza azma yake ya kuwafikishia wananchi walioko vijijini nishati bora za umeme, mafuta na gesi. Hayo yamebainishwa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Balozi, Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu […]
Na Richard Mrusha Mikumi. WATUMIAJI wa Vyombo vya moto wametakiwa kupunguza mwendokasi zaidi pindi wanapopita kwenye Hifadhi ya taifa ya mikumi ili kuepuka kugonga wanyama na kusababisha hasara kubwa ya kukosa fedha kutokana na utalii unaofanyika kwenye Hifadhi hiyo. Hayo yamesemwa februari 19,2024 na kamishna mkuu Msaidizi wa hifadhi ya Taifa Mikumi Kamanda ,Augustine Masesa […]
*📌Ataka TGDC kuchagiza mafanikio* *📌Akagua miradi ya Jotoardhi Kiejo-Mbaka na Ngozi* *📌Asema Dkt. Samia anataka huduma bora kwa wananchi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kwa dhati kuendeleza vyanzo vya umeme wa Jotoardhi ili kuhakikisha nchi inazalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya wananchi wake. Amesema chanzo hicho […]
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Uchukuzi leo imekutana jijini Dar es Salaam na Wizara ya Uchukuzi ya Misri lengo ni kuendeleza mashirikiano ya kiuchumi ya sekta ya uchukuzi kati ya nchi hizo mbili na kudumisha mahusiano mazuri yaliopo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Waziri wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa amesema […]