Na mwandishi wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufuzu Robรณ Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CR Belouizdad juzi โNaipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vyema katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la […]
Na mwandishi wetu.. WAZIRI MKUU na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kinara katika utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi. โNi ukweli usiopingika kuwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama chetu […]
๐ *Uzinduzi rasmi kufanyika mwezi Machi mwaka huu* ๐ *Dkt. Biteko asema hakuna kulala; vyanzo vipya kutekelezwa* Na mwandishi wetu… Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa megawatiย 2,115ย umeanza kazi na kuingizaย megawati 235 katika gridi ya Taifa […]
KLABU ya Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali mara baada ya kufanikiwa kuinyuka CR Belouizdad kwa mabao 4-0 katika mchezo wa hatua ya Makundi Klabu Bingwa Afrika. Yanga Sc ilikuwa inahitaji ushindi wa mabao 4-0 kwenye mchezo huo ili kujihakikishia nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali kwani mechi ijayo ambayo Yanga Sc atacheza […]
๐ *Azindua ugawaji Kadi za Bima ya Afya kwa wananchi 6000 jijini Mbeya* ๐ *Mbeya kufaidika na mradi wa umeme wa TAZA* ๐ *Vijiji 503 vyasambaziwa umeme* Mbeya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa maelekezo kwa wasimamizi wa vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali zote nchini kuhakikisha wanayasimamia madirisha […]
SERIKALI imeshuhudia utiaji saini mkataba wa kibiashara na kuongeza huduma kwenye mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kati ya Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL na Burundi Akishuhudia utiaji saini huo Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema tukio hili linaashiria hatua muhimu katika kuimarisha uhusiano wa kibiashara na teknolojia kati ya nchi […]
Kampuni ya simu ya Halotel leo imezindua kampeni nyingine mpya kwa wateja wake inayokwenda kwa jina la Vuna Point. Vuna point ni kampeni ambayo Halotel inaonyesha kujali na kuthamini wateja wake wajisikie wao ni wathamani hasa katika kupata huduma nzuri za mawasiliano. Vuna point ni kampeni ya wateja wanaoonyesha uaminifu wa kutumia mtandao wa Halotel […]
Na mwandishi wetu DAR ES SALAAM Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani kimepiga marufuku wamiliki na madereva wote nchini kutoweka Ving’ora, Vimulimuli, Namba bandia na taa za kuongezwa kwenye magari na pikipiki kama kuna ulazima wa kufanya hivyo basi wanatakiwa kuomba ridhaa ya kupata kibali cha kufanya hivyo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani. […]