๐ *Awapongeza Wasanii kwa kutopuuza utamaduni wa Mtanzania* ๐ *Ampongeza Dkt. Samia kwa kuufufua Mfuko wa Utamaduni* ๐ *Ataka Wasanii kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Watanzania wana kila sababu ya kulinda utamaduni na utu wao na katu wasiudhalilishe dhidi ya utamaduni wa […]
Na. Beatus Maganja Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Rajab Telack amewataka wakazi wa wilaya ya Kilwa na Mkoa wa Lindi kwa ujumla kuwa tayari kuwapokea watalii wanaotembelea Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara na kutumia fursa hiyo kufanya biashara za bidhaa za utalii ili kuwaingizia kipato. […]
WAKATI NHIF ikitangaza kuanza kwa matumizi ya kitita kipya kuanzia siku ya Ijumaa, Chama cha Wenye Hospitali Binafsi (APHFTA) kimetangaza tena kugomea kuwahudumia wanachama wa NHIF wakisema kuwa watapata hasara na hatimaye kufunga kutoa huduma. Chama hicho kinasema kuanza kutumika kwa kitita hicho kutazifanya hospitali nyingi binafsi kufa kifo cha asili natural death kwani zitashindwa […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mfuko wa Bima wa Taifa wa NHIF imefanya maboresho ya kitita cha mafao kwa wanachama wake ambayo utekelezaji wake utaanza rasmi Machi Mosi mwaka 2024 ikiwa lengo ni upatikanaji wa huduma bora wa wanachama pamoja na kuongeza huduma ambazo hazikuepo hapo awali. Aidha, amesema kuwa, maboresho hayo ya orodha […]
Na Madina Mohammed Mamlaka ya Dawa na vifaa tiba TMDA inawataarifu wananchi kuwa Kuna dawa aina ya XSONE ya macho inayotengenezwa na kiwanda Cha Abacus Paranteral Drugs Ltd (APDL) Kampala,Uganda dawa hiyo imebainika kutokidhi vigezo vya ubora ambayo ni matokeo DUNI. Imethibitika kuwa Kwa dawa hizo kuwa DUNI Kwa kuwa yameonesha kuwa na vipande vidogo […]
Na. Jacob Kasiri – Sitalike. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) amewataka Makamanda wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kuratibu maeneo yao vizuri na kusimamia sheria za uhifadhi kama zilivyopitishwa na Bunge ili maliasilia zilizomo ziendelee kuleta tija kwa taifa, ameyasema hayo jana Februari 25.02.2024 aliposimama kuwasalimia […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mamlaka ya Usimamizi wa bandariย Tanzania TPA imeingia mkataba wa ujenzi wa matenki na Miundombinu ya kupokelea,kuhifadhi na Usambazaji wa bidhaa ya mafuta Katika bandari ya Dar es salaam Waziri wa uchukuzi Mhe prof Makame Mbarawa ameshuhudia utiaji Saini wa mkataba huo wa matenki 15 utakaogharimu shiringi bilioni 678 […]
Na. Beatus Maganja Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mhe. Christopher Emil Ngubiagal amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA ni taasisi iliyoleta mapinduzi makubwa katika Sekta ya Utalii na kuwa chanzo kikubwa cha mapato ya Serikali na wazawa wa wilaya hiyo kutokana na maboresho ya miundombinu ya utalii katika Hifadhi ya Urithi wa […]
Na. Beatus Maganja Kazi iliyotukuka ya kutangaza Utalii wa Nchi yetu iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan kupitia filamu ya Tanzania “The Royal Tour” inazidi kudhihirisha matokeo chanya katika Hifadhi zetu Nchini hususan Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara ambayo […]
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) hii leo,limezindua rasmi Treni ya umeme ya Abiria kutoka Stesheni Jijini Dar es salaam kuelekea Mkoani Morogoro. Safari hiyo ilianza mnamo mida ya saa nne na Nusu na kuwasili Mkoani Morogoro mida ya saa sita na nusu. Shirika la reli Tanzania TRC limeanza kufanya majaribio ya uendeshwaji wa Treni za […]