Kilolo, Iringa. Wananchi wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wameishukuru serikali chini ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Barabara ya Kidabaga-Bomalang’ombe ambao umeweza kuwaongezea kipato na kuwainua kiuchumi. Wakiongea kwa wakati tofauti wananchi hao wamesema kwamba baada ya kukamilika kwa Barabara hiyo yenye urefu wa […]
Na Mwandishi Wetu Beijing Kampuni ya Touchroad Holding Group ya nchini China inayojihusisha na kuziunganisha nchi za Afrika na fursa mbalimbali zilizoko nchini China hasa utalii, biashara na uwekezaji itazindua safari za ndege kati ya Tanzania na China kuanzia mwezi Juni mwaka huu. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) […]
-Akagua barabara ya kibada Mwasonga, -Atembelea Kiwanda cha Nyati Cement. -Afanya Mkutano wa hadhara eneo la Kijaka-Kimbiji Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Mei 15, 2024 amefanya ziara ya kimkakati Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam. RC Chalamila alianza ziara yake kwa kukagua miundombinu ya TANROAD hususani barabara ya […]
– Filamu ya ” Amazing Tanzania ” yazinduliwa China Na Mwandishi Wetu – Beijing Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeadhimisha Miaka 60 ya Kidiplomasia kati yake na China sambamba na uzinduzi wa mwaka wa Utalii na Utamaduni ulioambatana na uzinduzi rasmi wa filamu ya “Amazing Tanzania” Mei 15, 2024 jijini Beijing China. Akizungumza […]
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM———————————————Mapema leo, Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimetia Saini Hati ya Mashirikiano (Memorandum of Understanding) baina yake na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) yatakayoziwezesha Taasisihizo mbili kushirikiana katika mambo mbalimbali hususan suala la utoaji elimu ya usalama na afya kwa wanachama wa […]
Na Beatus Maganja Mkazi wa Kijiji cha Kasenyi kilichopo wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza Bw. Obeid Francis (44) amenusurika kuliwa na mnyamapori aina ya mamba baada ya kuikumbuka na kuitumia elimu ya kuepuka madhara yanayoweza kusababishwa na wanyamapori wakali na waharibifu inayoendelea kutolewa na Maofisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA maeneo […]