Na Mwandishi wetu, Serengeti. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amewataka Maofisa na askari wa Mapori ya akiba Ikorongo na Grumeti kuongeza umahiri katika utendaji kazi ili kuendana na kasi ya uwekezaji mahiri (SWICA) uliofanyika ndani ya hifadhi hizo zilizoko wilaya za […]
Na mwandishi wetu Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Eng. Aisha Amour kupeleka timu ya wataalam mkoani Lindi itakayohakikisha inasimamia urejeshwaji wa miundombinu yote ya barabara na madaraja iliyokatika kutokana na kujaa maji hivyo kusababisha huduma za usafiri na usafirishaji kusimama katika Wilaya za Liwale, Nachingwea, Ruangwa na […]
Na Madina Mohammed Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azan Zungu amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo kusitisha zoezi la Mgambo kuwakamata Wafanyabiashara waliopo Jimboni humo badala yake wawaacheย wanfanye Biashara zao Kwa amani na utulivu. Naibu Spika huyo ameyasema hayo mara […]
Na mwandishi wetu LINDI,LIWALE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine kufungwa. Waziri Bashungwa akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa […]
Na. Beatus Maganja Rekodi ya idadi ya watalii wa kigeni waliotembelea Hifadhi ya Urithi wa Dunia na Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara iliyo chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA Machi 4, 2024 imevunjwa baada ya kupokea meli ya nane kutia nanga Hifadhini humo ikiwa na watalii 125 […]
Na mwandishi wetu Walimu wa shule za Sekondari Vetenari, Temeke, Sandali na wanafunzi wa shule ya ya Temeke wamepewa elimu ya mbolea na kuombwa kuwa mabalozi wema kwenye jamii zao juu ya matumizi sahihi ya mbolea. Elimu hiyo imetolewa na wawakilishi wa watumishi wanawake wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) ikiongozwa na Gema […]
Na mwandishi wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikiria Omari Mlopa (28),mkazi wa Mlandizi na wenzake wawili wakiwa na pikipiki 32 zilizoibwa na baadae kuzifanya zao kwa kuzikodisha kwa mikataba kwa watu mbalimbali na kujipatia pesa kila siku. Aidha Jeshi hilo limesema katika kipindi cha Januari hadi Februari, 2024 makosa ya […]
Na mwandishi wetu Katika kuelekea chaguzi za juu za Chama Cha ACT Wazalendo wagombea wa nafasi hizo wameshiriki kwenye mdahalo wa kunadi sera zao ulioandaliwa na chama hicho ukihusisha mgombea nafasi ya Mwenyekiti Othman Masoud Othman na nafasi ya Kiongozi wa Chama wagombea ni Dorothy Semu na Mbarara Maharagande. Akizungumza katika mdahalo huo baada ya […]