Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) inaendelea na kampeni ya “Kijiji hadi Kijiji, Shamba hadi Shamba,” yenye lengo la kuhamasisha matumizi sahihi ya mbolea kwa wakulima wa pamba. Kampeni hiyo inayofanyika kwa kushirikiana na Bodi ya Pamba Tanzania (CBT) na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI), inalenga kuongeza uzalishaji wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ameainisha matukio kadhaa yaliyogusa mkoa huu mwaka 2024, akisisitiza juhudi za mamlaka kurejesha utulivu na kuboresha usalama. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Disemba 23,2024 Chalamila amesema matukio hayo yameathiri mkoa kwa namna tofauti, lakini juhudi za pamoja za […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es Salaam, mji mkubwa na wa kihistoria nchini Tanzania, ni injini muhimu ya uchumi wa taifa. Ikiwa lango kuu la biashara kwa ukanda wa Afrika Mashariki, jiji hili lina mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa kitaifa kupitia bandari yake yenye shughuli nyingi, biashara za kimataifa, na uwekezaji wa ndani na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kuelekea sikukuu za Chrismas na Mwaka mpya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amesema ulinzi na usalama umeimarishwa ili kuhakikisha wananchi hususani wakazi wa Mkoa huo wanakuwa salama katika kipindi chote cha sikukuu na baada ya sikukuu, pia amewataka wazazi na walezi kusimamia vema usalama wa watoto […]
Na Kassim Nyaki, Karatu. Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana (Mb) kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemvisha cheo na kumuapisha Dkt. Elirehema J. Doriye Kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). Akimuapisha Dkt Doriye katika hafla iliyofanyika leo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wageni wengi wametembelea eneo la Mnara wa Saa ” *Clock Tower* ” kwa ajili ya kujionea taswira mbalimbali za wanyamapori pamoja na kupata elimu kuhusu umuhimu wa kijiografia wa eneo hilo. Uwepo wa Taswira za Wanyamapori ambazo zimewekwa na *TAWA* katika eneo hilo limenogesha zaidi kwa kuwavutia wageni wengi wazawa na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wageni wengi wametembelea eneo la Mnara wa Saa ” *Clock Tower* ” kwa ajili ya kujionea taswira mbalimbali za wanyamapori pamoja na kupata elimu kuhusu umuhimu wa kijiografia wa eneo hilo. Uwepo wa Taswira za Wanyamapori ambazo zimewekwa na *TAWA* katika eneo hilo limenogesha zaidi kwa kuwavutia wageni wengi wazawa na […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa masuala ya uchukuzi ipo katika hatua za kuandaa mapendekezo ya kutunga sheria ya Bodi ya Uchukuzi kwa lengo la kuwatambua na kuwasajili wana taaluma hao Kauli hiyo imetolewa leo Desemba 20,2024 na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko asisitiza teknolojia itumike uchakataji zao la ndizi* Dkt. Biteko ahimiza uwekezaji viwanda vya kuongeza thamani mazao ya uvuvi na ufugaji* Kagera yaongoza kwa uzalishaji zao la ndizi nchini kwa asilimia 60* Mradi wa Mashamba Makubwa ya Kahawa Kagera kunufaisha watu 10,000* Wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi wamekaribishwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchemgerwa amesema Serikali kwa kutambua umuhimu wa matumizi ya TEHAMA katika ujifunzaji na kujenga umahiri uliokusudiwa kwenye Mitaala kwa wanafunzi wa Sekondari, katika kipindi cha mwaka 2023/2024, Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 18 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya […]