Na Madina Mohammed WAMACHINGA DAR ES SALAAM Mkutano wa Afya Duniani (WHA77),ulioandaliwa na Amref Health Africa kwa ushirikiano na Afrika CDC, Ofisi ya Kanda ya Afrika ya Shirika la Afya Duniani na Bill na Melinda Gates Foundation. Katika mkutano huo,ulijadiliwa maswala muhimu ya afya ya umma ikiwa ni pamoja na kujiandaa na kukabiliana na janga […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza kuanza kwa Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal na ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Bahari Beach Jijini Tanga, kuanzia tarehe 25 hadi 31 Mei, 2024. Akizungumza na Waandishi wa Habari […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ARUSHA Ikiwa ni mwanzo wa ziara yake Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda aliyoipa jina la *SIKU 6 ZA MOTO ARUSHA* , Ametembelea katika Zahanati ya kijiji cha Leremeta Wilayani Longido ambapo akiwa hapo amepokea malalamiko kutoka kwa Mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha Leremeta Bw. Supuk Melita na […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ARUSHA Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda ametembelea na kukagua utoaji huduma katika zahanati ya kijiji cha Leremeta ambapo amehoji kuhusu umeme unaopatikana katika zahanati ili kujua unawezesha mitambo yote kufanya kazi ipasavyo. Katika majibu yake, uongozi wa zahanati hiyo umesema kuwa umeme hauridhishi kwakuwa ni single phase na […]
Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unafanyika leo, Mei 23, 2024 katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko. Mkutano huo ulioanza Mei 20, 2024, utahitimishwa Mei 25, 2024 unalenga kuimarisha utendaji kazi wa watumishi wa kada […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila amesema namna pekee ya kupata maendeleo kwa Taifa lolote ni kulipa kodi bila shuruti ambapo Serikali ya Tanzania Kupitia Mamlaka ya Mapato (TRA), itaendeleza oparesheni za kuwabaini baadhi ya wafanyabiashara wa vinywaji wanaoingiza vinywaji nchini visivyothibitishwa na TBS, na wanaofanya biashara […]
Na Madina Mohammed WAMACHINGA Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ubunifu wa kuvumbua bomu baridi lililoboreshwa kwa ajili ya kupambana wanyama hatari kama Tembo kwa kushirikiana na Shirika la Mzinga. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kupitia Bodi ya maziwa inaelekea Katika kuazimisha wiki ya Maziwa ambayo itakayofanyika Tarehe 1 Juni 2024 yenye kulenga utumiaji wa maziwa Kwa kila mwananchi na kupewa ufahamu wa jinsi ya utumiaji Kwa maziwa yote ambayo yaliyosindikwa na yasiyosindikwa. Msajili wa Bodi ya maziwa […]