Madina Mohammed DAR ES SALAAM Serikali Kwa kushirikiana na wadau wameweza kudhibiti ugonjwa wa Matende na Mabusha Katika Halmashauri 112 kati 119 na kubakiwa na Halmashauri 7 Halmashauri ambazo zenye maambukizi mapya ya Mabusha na Matende ni Pangani,Mafia,Kinondoni,Kilwa,Lindi Manispaa,Mtama Na Mtwara-Mikindani ambako Kuna jumla ya wakazi 1,203,359 Hapo awali maambukizi makubwa ya ugonjwa huo yalikuwa […]
๐ *Yapongeza Wizara kushirikisha Taasisi za Umma kwenye ujenzi* ๐ *Yataka mkandarasi kuongeza kasi ya ujenzi* ๐ *Ujenzi wafikia asilimia 75* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya Nishati kwa kushirikisha Taasisiย za Umma katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara katika Mji wa Serikali-Mtumba na hivyo […]
๐ *Apokelewa na Katibu Mkuu na Wafanyakazi wa Wizara* ๐ *Aahidi kushirikiana na wadau kumsaidia Mhe. Rais kufikia malengo* Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amewasili rasmi ofisini na kuahidi kumsaidia Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan kutimiza malengo yake kwa Taifa. Alipowasili Ofisi za Wizara eneo la Mtumba jijini Dodoma, alipokelewa […]
DODOMA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati)ย akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati wa Zambia (anayeshughulikia Huduma za Kiufundi), Peter Mumba (wa Pili kushoto) mara baada ya kikao chao kilicholenga kujadili masuala mbalimbali ya Nishati kati ya nchi hizo mbili. Kikao kimefanyika jijini […]
DAR ES SALAAM Tasisi ya Mama ongea na mwanao imesema hivi karibini wanatarajiwa kufanya tamasha kubwa la walemavu Nchi nzima na kuwapatia mahitaji yao mbalimbali ya msingi Katika tamasha hilo wataungana na makundi mengine ikiwemo vijana, bodaboda, wajasiliamali na watakuwa na kauli mbiu isemayo “Mtonye mwenzako Mama tena” Akizungumza na Waandishi wa Habari mapema hii […]
DAR ES SALAAM Chama cha ACT Wazalendo kimesema kitajiondoa kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kutokana na kutotekelezewa kwa makubaliano waliyoyaingia na serikali kabla ya kukubali kushiriki kwenye serikali hiyo. ACT wanadai kuwa hoja zao tatu ikiwemo fidia kwa waliopata madhara katika uchaguzi 2020, kuundwa Tume ya Kijaji kuchunguza uvunjifu wa haki za binadamu […]
– Asema mfano mzuri ni kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Machi 08, 2024 wakati akitoa hotuba ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Mkoa huo yaliyofanyika katika Uwanja wa Mji Mwema Wilaya ya Kigamboni. RC Chalamila amesema tunapoadhimisha Siku ya […]