Na mwandishi wetu Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) itajikita katika kufanya matengenezo makubwa katika maeneo korofi yaliyoathiriwa na mvua pamoja na kuendelea kukamilisha utekelezaji wa miradi ya barabara na madaraja hususan ya kimkakati na ile ya kupunguza msongamano katika miji ya […]
DAR ES SALAAM: BAADHI ya wachezaji wa Yanga waliokuwa kwenye kambi ya timu ya taifa โTaifa Starsโ wamerejea nchini kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Taarifa iliyotolewa leo na ofisa habari wa klabu hiyo, Ali Kamwe amewataja wachezaji hao kuwa ni Clement Mzize, Mudathir Yahya na Ibrahim Bacca. โTFF wameruhusu baadhi ya wachezaji […]
Na mwandishi wetu DAR ES SALAAM: MKURUGENZI wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema thamani ya uwekezaji katika taasisi zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina imeongezeka kutoka Sh trilioni 70 mwaka 2021 hadi kufikia Sh trilioni 76 mwaka 2023 ambayo ni sawa na ongezeko la asilimia 8.6. Akiwa […]
Na mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ametoa taarifa kwa umma, leo Machi 25, 2024ย kupitia vyombo vya habari Ofisini kwake Ilala Boma Jijini Dar es Salaam. RC Chalamila amesema ndege mpya ya abiria aina ya Boieng B737-9 Max ya shirika la Ndege ATCL inatarajiwa kuwasili nchini ambapo ndege […]
Na mwandishi wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Waumini wa Dini ya kiislamu kuendelea kuhifadhi Quran Tukufu na kufundisha watoto wao kuisoma na pia wazidishe kutoa sadaka kwa watu wenye mahitaji hususani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo katika fainali za 24 za […]
Na mwandishi wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar ulizingatia kutanguliza mbele usalama wa maisha ya watu, maslahi, utulivu na mstakabali mwema wa Zanzibar, Wazanzibar na Watanzania wote kwa ujumla, kuliko vyama vya siasa. Balozi Dk. Nchimbi […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na matumizi ya makosa ya kimtandao kimeendelea na kazi ya ufuatiliaji na kufanikiwa kwa mara nyingine kuwakamata watuhumiwa Claudian Makaranga mwenye umri wa miaka (28) mkazi wa Kawe, Kinondoni na […]
Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Dowei Care Technology ambao ni wazalishaji wa Taulo za kike na za watoto (SOFTCARE) kesho wanatarajia kutoa msaada wa bidhaa zao katika hospital ya Taifa ya Muhimbuli katika kitengo cha huduma za mama mtoto lengo likiwa kuendelea kumsaidia mwanamke kujisitiri pindi anapokuwa kwenye siku zake za hedhi. Akizungumza leo Machi […]