Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 104)
FEATURE
on Mar 28, 2024
351 views 2 mins

🟢 *Yachangia pesa wananchi waunganishiwe umeme* 🟢 *Wananchi wampongeza na kumshukuru Rais Samia* Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imefanya ziara wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga, Machi 27, 2024  kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini. Akizungumza baada ya kukagua miundombinu ya umeme katika Zahanati ya Magodi, Mwenyekiti wa Bodi, Balozi Meja Jenerali Mstaafu […]

FEATURE
on Mar 28, 2024
606 views 2 mins

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tayari Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongeza kiasi cha Shilingi Bilioni 4 kukamilisha upanuzi wa barabara ya njia nne Bukoba Mjini (Rwamishenye Round about – Stendi ya Bukoba Mjini) yenye urefu kilometa 1.6. Bashungwa amesema hayo leo tarehe 28 Machi 2024 wakati alipowasili katika Ofisi za […]

FEATURE
on Mar 27, 2024
377 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Kamati ya Bunge ya uwekezaji na mitaji ya umma imefanya Ziara ya kukagua mradi wa SGR na pia kuangalia majaribio ya TRC yanayofanywa Kwa maandarizi ya kuanza safari zao rasmi. Mwenyekiti ya kamati ya Bunge Amesema kuwa kazi kubwa imefanyika Kwa kutoka Dar mpaka morogoro wameshuhudia kuwa serikali imefanya […]

FEATURE
on Mar 27, 2024
190 views 39 secs

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema utulivu uliopo kwenye sekta ya habari nchini umechangiwa na maono ya Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza jijini Dar es Salaam, kusherehekea kilele cha programu maalum ya Kurasa 365 za Mama, iliyojikita kuangazia mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan, […]

FEATURE
on Mar 27, 2024
321 views 18 secs

DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mabadiliko katika Sheria ya Huduma za Habari yamekuja kukuza sekta ya habari kwa kiwango kikubwa. Majaliwa ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha Kurasa 365 za Mama, ikiangazia mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu […]

FEATURE
on Mar 27, 2024
264 views 2 mins

DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amesema mradi wa Ujenzi wa Reli ya kati mpaka sasa umeshafika maeneo yote yanayopaswa kufikiwa. Majaliwa amesema hayo leo Machi 27, 2024 akihitimisha kampeni ya Kurasa 365 za mama katika ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam. Amesema, ‘tuna mradi mkubwa wa ujenzi wa reli ya kati […]

FEATURE
on Mar 26, 2024
248 views 3 mins

Na Veronica Simba – REA, Korogwe Walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chekelei iliyopo kijiji cha Madumu, wilayani Korogwe, Mkoa wa Tanga wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha wanapata huduma zote za msingi ikiwemo umeme na vitendea kazi mbalimbali, hali ambayo wameeleza itasaidia kuboresha taaluma shuleni hapo. Wametoa shukrani hizo leo Machi 26, […]

FEATURE
on Mar 26, 2024
792 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Azam Media LTD Kwa mara nyingine tena wametambulisha Tamthilia Mpya ya BUNJI Ambayo itakayoonyeshwa Kwa mara ya kwanza Aprili Mosi,Mwaka 2024 Katika channel namba 103 ya sinema zetu Tamthilia hiyo ya BUNJI itaanza kuruka kuanzia Jumatatu mpaka Alhamis saa 1 na nusu usiku, Tamthilia hiyo ambayo ikiwakirishwa na Msanii […]

FEATURE
on Mar 25, 2024
261 views 2 mins

Na mwandishi wetu Serikali imesema uchumi wa Tanzania umeendelea kukua Hadi kufikia Asilimia 5.2 licha ya athari ya mlipuko wa UVIKO 19 Duniani pamoja na vita kali ya urusi na ukraine Msemaji mkuu wa serikali mobhare Matinyi ameyasema hayo Leo Machi 24,2024 Jijini Dar es salaam wakati akizungumza na wahariri na waandishi wa habari Kuhusu […]

FEATURE
on Mar 25, 2024
299 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM MKURUGENZI wa shirika la Reli nchini (TRC) Masanja Kadogosa amesema Ujenzi wa Miundo mbinu ya Reli unatarajia kufikia takribani trion 23.3 ambapo tayari shilingi trioni 10 zimeshalipwa kutekeleza Mradi huo wa kimkakati. Akizungumza Katika Mkutano wa waandishi wa Habari na wahariri wa vyombo vya habari nchini jijini Dar es […]