Na Mwandishi wetu WAMACHINGA -Asema wasanii wanamchango mkubwa katika maendeleo ya Taifa -Awataka kupitia kazi zao za sanaa kufikisha ujumbe wa matumizi ya matokeo ya Sensa ya mwaka 2022 kwa jamii Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 12,2024 amefungua mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA ***Treni ya SGR haijaja kuchukua nafasi ya ndege Wala Mabasi ****Mizigo mikubwa haitakiwi,chakula Wala Wanyama inaitaji kuwa Treni ya kimataifa Shirika la Reli Tanzania TRC limezindua Safari ya Treni ya Mwendokasi kutoka Dar es salaam Mpaka Morogoro Na kuanza Rasmi safari hiyo siku ya ijumaa ya Tarehe 14 […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA *๐ Diplomasia ya Kiuchumi yainadi Tanzania kimataifa* *๐ Marekani yasaka fursa uwekezaji Sekta ya Nishati* *๐ Dkt. Biteko ataja maono ya Rais Dkt. Samia kiini cha ujio wa wawekezaji* *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Doto Biteko amekutana na […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ๐ *Lengo ni kujihakikishia umeme wa kutosha na uhakika ๐ * Dkt. Biteko akutana na wadau wa chemba ya wafanyabiashara wa Ujerumani na wadau wa nishati ๐ Aiomba Ujerumani kuendelea kufadhili miradi ya nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishatiย Mhe. Dkt Doto Biteko,ameieleza jumuiya ya wafanyabiashara wa ujerumaniย na […]
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA TAASISI ya Mama Ongea na Mwanaoย kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wametoa msaada wa Baiskeli 250 kwa watoto wenye mahitaji maalumu (Walemavu) ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao za kupata elimu . Akizungumza na Waandishi wahabari leo Juni 11, 2024 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Steve Nyerere amesema […]
Na Mwandishi wetu -Barcelona,Hispania Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Kampuni ya IFEMA ya Madrid, Hispania inayojihusisha na uandaaji wa Onesho linaloongoza duniani la Feria Internacional de Turismo (FITUR) lengo ikiwa ni kuangalia namna bora ya kuboresha ushiriki wa Tanzania katika Onesho hilo […]
Na mwandishi wetu WAMACHINGA -Akagua maendeleo ya barabara ya Tabata Mazda hadi Kimanga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 10 ,2024 amefanya ziara ya kushtukiza kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Mazda kimanga Km 3.7 Wilaya ya Ilala. RC Chalamila amefanya ukaguzi huo kufuatia ahadi aliyoitoa kwa wananchi wakati […]