Na Mwandishi Wetu RUFIJI Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff ameagiza timu ya wataalamu wa TARURA Makao Makuu na ya Mkoa wa Pwani kufanya mapitio ya usanifu wa daraja la Bibi Titi Mohammed-Mohoro linalotarajiwa kujengwa wilayani hapa. Mhandisi Seff ameyasema hayo mara baada ya kufanya ukaguzi wa […]
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia Idara ya Mawasiliano imeshinda tuzo ya Umahiri katika Mawasiliano ya umma iliyobeba dhima ya “The Best use of Influencers Category for the year 2023” , hafla iliyofanyika usiku wa tarehe 05.04.2024 katika Ukumbi wa St. Peter’s jijini Dar es Salaam, tuzo […]
DODOMA Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na miradi mbalimbali ya kupunguza msongamano wa magari katika Miji na Majiji kwa kujenga barabara za juu (Fly Overs) kwenye Makutano ya barabara, Ujenzi wa Miundombinu ya Mabasi yaendayo haraka (BRT). Bashungwa ameeleza hayo jijini […]
DODOMA Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu Serikali imefanikiwa kukamilisha viwanja vya Ndege 5 ambavyo ni Kiwanja Cha Ndege cha Geita, Mwanza, Mtwara, Songwe na Songea. Waziri Bashungwa ameeleza hayo jijini Dodoma tarehe 5 Aprili, 2024 katika hafla ya kuangazia mafanikio ya miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu […]
DODOMA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya Ujenzi imefanikisha ujenzi wa madaraja makubwa 8 yakiwemo Daraja la Wami mkoani Pwani, Daraja la Tanzanite mkoani Dar es Salaam, Daraja la Gerezani mkoani Dar es Salam, Daraja la Mpwapwa mkoani Dodoma, Daraja la […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imefanikiwa kukamata Kilogramu 4.623 za aina mpya ya dawa ya kulevya aina ya methylene dioxy pyrovalerone (MDPV) iliyokamatwa jijini Dar es Salaam ikisafirishwa na raia wa Comoro anayeitwa Ahmed Bakar Abdou (32). Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Ngome ya wazee wa Act Wazalendo wanaunga mkono tamko la chama lililotolewa na makamu Mwenyekiti wa chama Ndugu Isihaka Mchinjita la kuwataka wajumbe wote wa Tume ya uchaguzi Wajiuzulu Kwa hatua hiyo ya wajumbe wa Tume ya uchaguzi kujiuzulu itatoa nafasi Kwa wajumbe wapya kuteuliwa Kwa kuzingatia masharti yaliyopo […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Shirika la RELI la Tanzania TRC imeeka historia ya kwanza Kwa kuleta seti ya kwanza ya treni ya kisasa ya EMU,Vichwa vitano vya umeme na Mabehewa matatu ya abiria ambavyo vimewasili Katika bandari ya Dar es salaam Serikali Kupitia shirika la RELI Tanzania imepokea jumla ya Mabehewa 65 ya […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Dkt. Biteko akutana na Mwenyekiti wa Bodi ya EITI ya nchini Norway* Ushirikiano wa EITI na TEITI kuimariswa* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 3 Aprili, 2024 amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Asasi ya Bodi ya Kimataifa ya Uhamasishaji Uwazi na […]