Na Madina Mohammed WAMACHINGA ๐ *Amshukuru Rais Dkt. Samia kwaย nyenzo na maelekezo* ๐ *Ahadi ya Rais ya umeme wa kutosha yatimizwa, sasa hakuna mgawo wa umeme* ๐ *Aziwashia taa nyekundu kampuni tanzu za TANESCO* ๐ *Ataka Wataalam kutumia maonesho kutatua kero si kurekodi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko […]
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki anatarajia kumwakilishaย Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo utakaofanyika Aprili 16-18,2024ย jijini Washngton DC nchini Marekani. Mkutano huo pamoja na mambo mengine utajadili masuala mbalimbali ikiwemoย namna […]
Na Madina Mohammed Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dktย Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara nchini Uturuki kwa lengo la kukuza Uhusiano wa Kidiplomasia ya kisiasa, uchumi na biashara kati ya nchi hizo mbili . Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam tarehe 15 April 2024 Waziri wa Mambo ya Nje […]
Na. Beatus Maganja Timu ya Maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka madhara yatokanayo na mamba na viboko kwa wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani humo. Hayo yamesemwa leo na Afisa habari wa TAWA Beatus Maganja alipokuwa akiongea […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM TMDA imetoa taarifa Kwa umma kuwa Kuna taarifa inayosambaa Katika mitandao ya kijamii “Whatsapp”Kuhusu uwamuzi wa mamlaka za udhibiti wa dawa (national Medicine Regulator Authorities)za nchi kadhaa barani Afrika kuzuia matumizi na kuondoa (recall)Katika masoko Yao Kwa dawa duni ya maji aina ya Benylin Pediatrics syrup iliyotengenezwa mwezi Mei […]
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Dawa na vifaa tiba nchini (TMDA ) kupitia kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma imeshinda tuzo ya Umahiri katika Mawasiliano ya umma iliyobeba dhima ya โThe best winner in media relations category for the year 2023 โ ikiwa na maana mshindi wa Tuzo ya Kundi la […]
Na mwandishi wetu IMEBAINISHWA kuwa kuwepo kwa matukio ya majanga kwa miaka mingi ya hivi karibuni imeonesha uwezo mdogo wa kukabiliana na majanga pamoja na kuchukua tahadhari za majanga mbalimbali ikiwemo ajali na moto kutoka kitengo cha maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Kivuli […]
MOROGORO *๐Hayati Sokoine alikuwa mstari wa mbele kukemea rushwa na ufisadi* *๐Anakumbukwa kama kiongozi aliyepigania maendeleo ya taifa.* *๐Dkt. Biteko asisitiza Sekta ya Kilimo iwe kimbilio* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanapaswa kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuinua uchumi wa […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Kamati ya Tuzo za Tanzania (TMA 2024) iliyopewa jukumu mahususi la kuandaa Matukio ya Tuzo za muziki Tanzania imetangaza rasmi uzinduzi wa Tuzo hizo ambapo mchakato wake utaanza hivi karibuni. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya TMA,Christine Mosha (Seven) Amesema Tuzo hizo za TMA ambazo zitajumuisha wasanii wote kuazia waimbaji,wachezaji […]
BABATI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Dareda hadi Dongobesh (km 60) sehemu ya kwanza ya Dareda Mjini hadi Dareda Missioni (km 7) ili kuufungua kiuchumi Mkoa wa Manyara. Bashungwa amezungumza […]