Na Mwandishi Wetu Asema limepunguza athari za mafuriko Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya Gesi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa licha ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, Bwala la Umeme la Julius […]
Na Mwandishi Wetu DODOMA Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jonsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameiasa jamii kuona umuhimu wa malezi bora kwa watoto ndani ya familia kama chanzo cha jamii. Ametoa wosia huo Aprili 18, 2024 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa Habari ikiwa ni kuelekea maadhimisho ya Siku ya […]
Na Mwandishi Wetu TANGA Unamilikiwa na Watanzania kwa asilimia 100 Utafiti umebaini uwepo wa mashapo ya dhahabu kiasi cha tani 21.7 Kampuni ya PMM Tanzania Limited inayomiliki mgodi wa Magambazi imeanza shughuli za uzalishaji madini ya dhahabu ambapo kuanzia Agosti 2024 mgodi huo unatarajiwa kuzalisha kilo 25 za dhahabu kwa mwezi. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mambo Mengi yameendelea kuonekana kwa benki ya โMaendeleo Bank Plcโ ambapo kwa mwaka 2023 matokeo ya kifedha yameonesha kukua kwa faida kwa asilimia 66 baada ya kodi na kufanya faida baada ya kodi kuongezeka hadi shilingi Bilioni 2.3 kutoka shilingi Bilioni 1.4 mwaka 2022 kutokana na uimarishwaji wa njia […]
Na Mwandishi Wetu Wananchi wa Kijiji cha Kwedikwazu kilichopo wilayani Handeni mkoa wa Tanga wameipongeza Serikali kwa hatua mbalimbali zinazoendelea kufanyika ili kuleta maendeleo ya Kudumu kupitia Sekta ya Madini. Hayo yamebainishwa na Katibu wa Kikundi cha Wanawake cha Mwanzo Mgumu, Bi Saumu Kisaka wakati akizungumza na timu ya Maafisa Habari wa Wizara ya Madini […]
Na. Beatus Maganja Wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani Rufiji wameiona thamani na umuhimu wa uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA baada ya leo Aprili 16, 2024 kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa taasisi hiyo yenye thamani ya shillingi millioni 20 ikiwemo tani 6.4 za unga wa sembe, Kilo 666 za maharage na […]
Na Mwandishi Wetu DODOMA Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Taasisi zilizo chini yake, Mikoa 26 ikijumuisha Halmashauri 184 zimeomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2024/25 yenye jumla ya shilingi trilioni 10.125. Kwa mwaka 2023/24, Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliidhinishiwa bajeti ya trilioni 9.18, kati ya fedha hizo, trilioni 3.52 ni fedha za […]