📍 Waliohama kupokelewa vijiji jirani, waipongeza Serikali Na Beatus Maganja, Malinyi. Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba amesema zoezi la kuwalipa fidia wananchi wa Kijiji cha Ngombo kilichopo ndani ya Pori la Akiba Kilombero Mkoani Morogoro linaendelea vizuri ambapo asilimia 93 ya wananchi wote tayari wamekwishalipwa fidia zao kwa ajili ya kupisha shughuli […]
Na Mwandishi Jeshi la Polisi- Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema limejipanga vyema kuhakikisha sikukuu ya mwaka mpya 2025 inasherehekewa kwa amani na utulivu, na kwa kuzingatia kutakuwa na mkesha wa siku tatu katika Jiji la Arusha. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kitabu hiki nimeandika niweze kusaidia watu wengi japo watu wengi ni wavivu kusoma nataka niwakumbushe kwamba ufalme utatekwa na wenye nguvu lazima tulipe gharama ili tuweze kuishi hatma yetu tulopewa na Mungu. Hayo ameyazungumza Mbeba maono Mchungaji Gabriel Hassan katika hafla ya uzinduzi wa kitabu chake cha Nguvu ya utendaji wa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Halmashauri ya Manispaa ya Ilala imefungua rasmi milango kwa wafanyabiashara kufanya biashara masaa 24 kuanzia Januari 2025, katika juhudi za kuboresha mazingira ya biashara na huduma kwa wananchi Hafla ya uzinduzi wa taa na kamera za CCTV katika Jengo la Machinga Complex limefanyika jana usiku wa,29 Desemba 2024, na kuhudhuriwa na […]
*Energy Updates* This energy project has truly brought significant changes, particularly in our daily production environment. It has become essential for carrying out our everyday activities. As a result, young people have started opening barbershops, while others are engaged in welding or selling cold drinks. Everyone is making the most of the opportunities provided by […]
Na Beatus Maganja Jumla ya watalii 770 kutoka viunga vya Mkoa wa Tabora na mikoa ya karibu wametembelea Bustani ya wanyamapori hai almaarufu TABORA ZOO Desemba 25, 2024 kujionea maajabu yaliyopo ndani ya bustani hiyo ikiwemo Nyumbu rafiki wa binadamu mwenye sifa za kipekee za kuambatana na watalii akiwaongoza katika vivutio mbalimbali vilivyopo ndani ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katika kusherehekea SIkukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025, Watanzania hatuna budi kujivunia safari ya mafanikio katika Sekta ya Nishati, hususan umeme. Je Unajua kabla ya kupata Uhuru mwaka 1961 Nchi ilizalisha umeme kwa kutumia mafuta ambapo kila mkoa ulijitegemea na hapakuwepo na mfumo wa gridi ya Taifa? Safari ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dkt. Hussein Omary, ametoa wito kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) kuandaa mpango mahsusi wa kuongeza matumizi ya mbolea ili kuimarisha sekta ya kilimo nchini. Wito huo ulitolewa hivi karibuni wakati wa ziara yake katika ofisi za Mamlaka hiyo jijini Dar es […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imeendelea kuchukua hatua za kuelimisha wakulima kuhusu matumizi sahihi ya mbolea na faida zake kupitia ushiriki wake katika maadhimisho ya “Ijuka Omuka” yanayoendelea katika viwanja vya CCM mjini Bukoba. Maadhimisho haya, ambayo yalianza tarehe 16 Desemba 2024, yamelenga kuwakutanisha wadau wa maendeleo katika Sekta […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TANESCO yaunganisha Kigoma na umeme wa Gridi kupitia Kituo cha Kidahwe* Mha.Nyamo-Hanga asema Serikali kuokoa sh.bilioni 58 zilizokuwa zikitumika kwenye umeme wa mafuta* Ataja miradi mingine ya kuimarisha umeme Kigoma* Agizo la Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt,Doto Biteko la kulitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutekeleza kwa kasi […]