Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda. Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia CCM basi waiambie Tume. Akizungumza […]
Kwa mara ya pili mfululizo, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeshinda tena tuzo ya Uhusiano Mwema na Vyombo vya habari, ikionesha namna taasisi hiyo inavyothamini uhuru wa vyombo vya habari katika kuuhabarisha umma kuhusu shughuli zake. Tuzo hiyo ilitolewa jana(29.3.2024) na Chama cha Maofisa Uhusiano Tanzania (PRST), baada ya mchuano […]
📌Shirika labeba tuzo 4 kati ya 12 zilizoandaliwa. 📌Mawasiliano ya Kimkakati na Ubunifu vyatajwa kati ya sababu za Ushindi huo. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kung’ara baada ya kushinda jumla ya tuzo 4 kati ya 12 zilizotolewa na Chama cha Maafisa Uhusiano na Mawasiliano Tanzania(PRST)kwa mwaka 2024. Tuzo hizo zilizotolewa 29, Machi 2025 jijini […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌Urahisi wa upatikanaji huduma kwa njia za kidigitali watajwa moja ya kigezo cha kushinda tuzo hiyo 📌MD Gissima aibuka kidedea kwa Kusimamia Maboresho yenye tija huduma kwa wateja Sekta ya Umma. Shirika la umeme Tanzania TANESCO kwa mara nyingine tena limeshinda tuzo ya the ”Most improved Organization” eneo la huduma kwa […]
NA MWANDISHI WETU, KILIMANJARO WAKAZI wanne wa Wilaya ya Same wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi jana tarehe 28 Machi 2025, wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa jumla ya kilogramu 518.57. Watuhumiwa hao, Nimkaza Mbwambo, Prosper Lema, Nterindwa Mgalle, na Stephanie Mrutu, walisomewa […]
Jiji la Mwanza limeshuhudia matembezi makubwa na ya kihistoria yaliyoandaliwa na Umoja wa Makundi Mbalimbali chini ya mwavuli wa Generation Samia (GEN-S) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA). Matembezi haya yalifanyika kuelekea Kongamano Kubwa la Wazi la Fursa za Uchumi, likiwa na kaulimbiu “Mgao wa 30% za Samia Kupitia Mfumo […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 Wamshukuru Rais Samia kwa kupunguza gharama za umeme 📌 Elimu kuhusu matumizi bora ya nishati yatolewa 📌 Watakiwa kuchangamkia fursa ya kuunganisha umeme Wananchi mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini kwa lengo la kuwapatia umeme wa gharama nafuu, na wameipongeza Serikali […]
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dkt. Irene Isaka amewataka watumishi kuendeleza maombi na kutenda matendo mema kupitia Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan na Kwaresima ambayo kwa mwaka huu imewaunganisha waumini wa madhehebu ya Kikristu na Waislam. Amesisitiza hayo jana Jijini Dodoma wakati wa futari iliyoandaliwa na Mfuko na kuhudhuriwa na Watumishi wa Makao Makuu na […]
-Asema Rais Samia ametoa mkono wa kheri ya Eid Ul-Fitr kwa watoto wenye uhitaji kutoka katika makao mbalimbali ndani ya Mkoa huo. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amekabidhi Sadaka ya vyakula iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye vituo mbalimbali vya makao ya […]