Ibrahimu Traore ni Afisa wa jeshi la Burkina Faso ambaye kwasasa ni Rais wa nchi hiyo baada ya kufanyika kwa mapinduzi ya kijeshi yaliyomwondoa madarakani rais Paul-Henri Sandaogo Septemba 30, 2022 Traore alizaliwa mwaka 1988 katika mji wa Bondokuy, Burkina Faso kwa Sasa ana umri wa miaka 35 kitu kunacho pelekea kuwa Rais mwenye umri […]
“Mkesha wa Mwenge wa Uhuru 2023 kuambatana na kusherekea mafanikio ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Fack Lulandala amesema usiku wa mkesha wa Mwenge wa Uhuru 2023 katika Halmashauri ya Mji Tunduma itakuwa ni sherehe kubwa ya kusherehekea mafanikio ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa […]
Jeshi la Marekani na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamezindua mafunzo ya pili ya pamoja ya kila mwaka katika hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani Kunduchi Tarehe 21 Julai 2023. Mafunzo haya yatafanyika sehemu mbalimbali Tanzania katika kipindi cha miezi michache ijayo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya vikosi […]
Chama cha Kriketi Tanzania (TCA) kimetunukiwa haki ya kuwa mwenyeji wa mashindano ya ICCU 19Mens World Cup 2024 Africa ya ICC U19 Men’s World Cup Africa Division 1 Qualifier Qualifying Mashindano ya kufuzu yameanza rasmi Tarehe 23 July -29, 2023 katika Viwanhja Viwili Jijini Dar es Esalaam Dar es Esalaam Tanzania.Viwanja hivyo nipamoja na Gymkhana […]
Mwaka wa fedha uliopita wa 2022/2023 Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ilitengewa kiasi cha shilingi Bilioni 44.5 fedha ambazo zimetumika kufanya shughuli mbalimbali za utoaji wa huduma ya matibabu ya moyo Pamoja na shughuli za maendeleo. Katika mwaka huo wa fedha Taasisi imefanikiwa kuwafanyia wagonjwa upasuaji mkubwa wa moyo wakufungua kifua na kuwabadilishia […]
Kufuatia tukio alililolifanya Mwalimu Sabina Haule kutoka shule ya Sekondari Loleza la kuwalaza wanafunzi Darasani na kupelekea Mkuu wa Mkoa kumuagiza Afisa Elimu kumchukulia hatua Mwalimu huyo hatimae hii leo RC Homera ametangaza kumsamehe Mwalimu huyo na kumtaka achape kazi kwa bidii na kurekebisha baadhi ya changamoto. RC Homera ametangaza msamaha huo baada ya Mwalimu […]
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya mjadala wake wa kwanza kuhusu teknolojia ya akili bandia wiki hii mjini New York huku Uingereza ikitarajiwa kutoa wito wa mdahalo wa kimataifa. Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza James Cleverly ataongoza majadiliano hayo ya kesho Jumanne. Serikali kote ulimwenguni zinafikiria jinsi ya kupunguza athari za […]
Mkutano wa umoja wa Askari wa kike Duniani (IAWP) Kanda ya Afrika unaotarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam Julai 22-29-2023 unaotarajiwa kuongeza uhusiano baina ya Askari wa kike wa Tanzania na Askari wa nchi nyingine ambazo zitashiriki. Mwenyekiti wa Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-Net) Kamishna wa Polisi CP Suzan Kaganda amesema hayo leo baada ya […]
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameendelea kutoa wito kwa jamii hasa wanawake kuwa chachu ya mabadiliko chanya kwa ustawi wa Taifa. Akifungua kongamano la kujengea uwezo Wanawake lililoandaliwa na Taasisi ya “Godly Women Ambassadors Tanzania”(GWAT) katika Kanisa La Agape Life Church (ALC) Mbezi Beach, Dar Es […]
Kampuni ya mitindo ya mavazi inayomiliki chapa ya Adidas imeingia mkataba wa matangazo ya mitindo ya mavazi na Mwanamitindo kutoka Tanzania, Zuhura Bedel Said maarufu Zara. Zara anayetoka Zanzibar ameingia mkataba huo hivi karibuni baada ya kuwepo kwenye kumi bora, ambapo ataitangaza chapa ya Adidas kupitia mitindo ya mavazi. Habari hiyo ilithibitishwa na Balozi wa […]