Home > Articles posted by GEORGE ALPHONCE (Page 6)
FEATURE
on May 15, 2023
137 views 41 secs

Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka mradi wa Little Heart wa Shirika la  Muntada Aid lenye makao yake makuu mjini London nchini Uingereza wakimfanyia mtoto kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography) mara baada ya kumaliza kutanua Valvu ya moyo […]

FEATURE
on May 15, 2023
170 views 24 secs

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amewasili wilayani Bukombe akiongozana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu) tayari kwa kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Wilaya ya Bukombe pamoja na uzinduzi wa ukumbi mkubwa wa mikutano wa CCM Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita.

FEATURE
on May 15, 2023
216 views 55 secs

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Camillus M.Wambura IGP akiwa na ujumbe wa Maofisa watano kutoka Jeshi la Polisi Tanzania leo Mei 15,2023 wameanza rasmi ziara ya kikazi Nchini Ireland ambapo ametembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Ireland \”An Garda Síochána\” na kukutana na Deputy  Commissioner Anne Marie McMahon.Wameweza kubadilishana uzoefu wa namna ya […]

FEATURE
on May 15, 2023
105 views 4 mins

Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya imeagiza mashine Tiba(thermocoagulators) 100 zaidi ambazo zinatarajiwa kusambazwa kwenye vituo vyakabla ya mwezi Disemba 2023. Upatikanaji wa vifaa tiba hivyo utaenda kuongeza wigowa upatikanaji wa huduma ya matibabu ya Saratani ya mlango wa kizazi katika vituo100 zaidi vya ngazi ya msingi ikiwemo hospitali ya wilaya, vituo vya afya […]

FEATURE
on May 13, 2023
111 views 3 mins

WIZARA ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaidia kugharamia usafiri wa mashabiki 55 wa timu ya Yanga kwenda Afrika Kusini katika mchezo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF) huku Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Hamis Mwinjuma akitarajia kuongoza msafara huo. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Bw. Saidi Yakubu […]

FEATURE
on May 13, 2023
136 views 2 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoawito kwa Makampuni ya simu kubuni teknolojia ya gharama nafuu itakayowezeshakila Mtanzania kupata huduma ya mawasiliano popote alipo nchini. Rais Samia ametoa wito huo leo wakati wa utiaji saini mikataba ya upelekaji hudumaza mawasiliano nchini kati ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) na […]

FEATURE
on May 13, 2023
150 views 4 mins

Serikali imefanya mapinduzi makubwa  katika sekta ya afya kwa kuweka mfumo madhubuti wa huduma za dharura na ajali kuanzia ngazi ya Taifa  hadi wilaya ambapo matokeo ya uwekezaji huo  ni kupunguza vifo kwa 40% ndani ya hospitali na kuokoa maisha ya wananchi wanaohitaji huduma za dharura nchini. Akiwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2023/2024 […]

FEATURE
on May 13, 2023
131 views 2 mins

Wafugaji wanaotorosha mifugo yao kwenda nje ya nchi bila kufuata utaratibu uliowekwa naSerikali wametakiwa kuacha vitendo hivyo kwani hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Wizi wa mifugo Nchini Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP SimonPasua ameyasema hayo leo wakati alipotembelea mnada wa Themi maarufu ‘‘Lokii’’ uliopowilayani Arumeru kwa lengo la kutoa elimu […]

FEATURE
on May 12, 2023
703 views 2 mins

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi, Sophia Edward Mjema akizungumza na Jukwaa la Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) pamoja na vyombo vingine kama Magazeti, Televisheni na Redio ikiwa ni katika kuhakikisha mahusiano baina ya Chama Cha Mapinduzi na Wanahabari yanazidi kuwa bora. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam Mei 11, […]