Home > Articles posted by GEORGE ALPHONCE (Page 5)
FEATURE
on May 17, 2023
185 views 3 mins

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza na Waandishi wa Habari na Watendaji wa ofisi yake (hawapo pichani) jijini Dodoma kuhusu mkutano wa kitaaluma wa Makatibu Mahsusi na Watunza Kumbukumbu utakaofanyika Zanzibar.. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma naUtawala Bora, Mhe. George Simbachawene […]

FEATURE
on May 17, 2023
168 views 4 mins

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Uteuzi na Nidhamu ya Madalali na Wasambaza Nyaraka wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya ilipomtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma tarehe 16 Mei 2023. Kulia ni Katibu Mkuu Eng. Anthony Sanga. Waziri wa Ardhi Nyumba na […]

FEATURE
on May 16, 2023
141 views 2 mins

*Asema atakumbukwa na Jumuiya za Kimataifa kwa utumishi wake Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba watanzania kumuombea na kuenzi yote mazuri aliyowahi kufanya marehemu Bernard Kamilius Membe enzi za uhai wake. Amesema hayo leo Jumanne (Mei 16, 2023) alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia katika ibada ya mazishi ya Marehemu Bernard Membe […]

FEATURE
on May 16, 2023
124 views 5 mins

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Fatma Rajab akipokea zawadi ya tende kutoka kwa wawakilishi wa Kituo cha Hisani cha Mfalme wa Saudi Arabia. Zawadi hiyo ya tende imetolewa na Serikali ya Saudi Arabia kupitia Kituo hicho na hafla ya makabidhiano imefanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam. Naibu […]

FEATURE
on May 16, 2023
165 views 4 mins

Kamishna Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema akifafanua jambo katika kikaokazi cha kuainisha mahitaji yaย mfumo wa kielektroniki wa usajili na usimamizi wa Mifuko na Programu za uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kilichofanyikaย jijini Dodoma. Serikali inaada mfumo wa kielektronikiย wa Huduma Ndogo za Fedhaย ili kuboresha ufanisi wa usimamizi wa Mifuko na Programu za […]

FEATURE
on May 15, 2023
184 views 3 mins

Kwa muda wa mwezi mmoja sasa katika viwanja vya ndani vya Chuo Cha Maendeleo yaMichezo Malya kunafanyika Ligi ya Netiboli inayokusanya timu kadhaa za eneo la Malya wilayaya Kwimba, Mkoani Mwanza ambapo sasa yamefikia nusu fainali. Ligi hiyo iliyoanza Mei 1, 2023 Malya Queen Walifungua dimba na Malya Sekondari, MalyaQueen wakishinda kwa magoli 21 kwa […]

FEATURE
on May 15, 2023
133 views 16 secs

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akikata utepe ikiwa ishara ya uzinduzi ya nyumba ya kupumzikia wageni ikiwa ni mradi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukombe mkoani Geita.

FEATURE
on May 15, 2023
125 views 4 mins

Wananchi wa Mkoa wa Manyara wameishukuru Taasisi ya MoyoJakaya Kikwete (JKCI) kwa kuwapeleka wataalam wa afya mabingwa wa moyo kwaajili ya kuwafanyia uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo.Hayo yamesemwa na wananchi mbalimbali waliojitokeza katika Hospitali ya RufaaMkoa wa Manyara (MRRH) kwa ajili ya kupima moyo wakati wa kambi maalum yasiku tano iliyoanza leo ikifanywa […]

FEATURE
on May 15, 2023
126 views 40 secs

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) alikijibu swali, bungeni jijini Dodoma. Serikali imesema kuwa imeanzisha kitengo maalum kinachosimamia biashara za mtandao, ikiwa ni pamoja na kubuni na kuboresha mifumo ya usimamizi wa biashara za mtandao ili kuwezesha utambuzi, usajili na ukusanyaji wa kodi stahiki. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na […]