Home > Articles posted by GEORGE ALPHONCE (Page 4)
FEATURE
on May 20, 2023
210 views 2 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kamba pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ikulu ya Chamwino huku viongozi mbalimbali wakishuhudiakatika Sherehe zilizofanyika kwenye viwanja vya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. […]

FEATURE
on May 20, 2023
135 views 5 mins

Baadhi wa wataalam wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara (MRRH) wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa kambi maalum ya siku tano ya matibabu ya moyo leo Mkoani Manyara. Jumla ya watu 420 wamefanyiwa uchunguzi na matibabu ya moyo katika kambi […]

FEATURE
on May 19, 2023
167 views 6 mins

Wataalam wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka mradi wa Little Heart wa Shirika laย  Muntada Aid lenye makao yake makuu mjini London nchini Uingereza wakifanya upasuaji wa kurekebisha mishipa ya damu ya moyo wa mtoto wakati wa kambi maalum ya siku tano ya upasuaji wa moyo iliyomalizika […]

FEATURE
on May 19, 2023
190 views 2 mins

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akijibu maswali Bungeni jijini Dodoma leo Mei 19,2023. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii ,Mhe. Mary Masanja (Mb) amewaelekeza Askari wa Uhifadhi Kanda ya Kaskazini kuanza zoezi la kusaka fisi wanaovamia makazi ya watu katika Halmashauri ya Wilaya ya Karatu. Ameyasema hayo leo Bungeni jijini […]

FEATURE
on May 18, 2023
200 views 6 mins

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mhe.Fatma Nyangasa akizungumza na wananchi waliofika katika Hospitali ya wilaya hiyo kwajili ya kupata huduma ya uchunguzi na matibabu ya moyo wakati wa kambi maalum ya siku tatu ya matibabu inayofanyika wilayani humo. Wananchi wa Kisarawe na wilaya jirani wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupata huduma za upimaji, ushauri  na matibabu ya […]

FEATURE
on May 18, 2023
106 views 2 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kuashiria ufunguzi wa Mradi wa Minara ya kurusha matangazo ya Televisheni Ardhini (DTT) ya Kampuni ya Azam Media kwenye hafla iliyofanyika katika Makao Makuu ya Ofisi hizo zilizopo Barabara ya Mandela Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri […]

FEATURE
on May 18, 2023
124 views 6 mins

Kaimu Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Manyara (MRRH) Dkt. Yesige Mutajwaa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali na wataalam wa afya kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete baada ya maadhimisho ya siku ya shinikizo la juu la damu yaliyofanyika kitaifa leo Mkoani Manyara. Kauli mbiu ya mwaka huu ni โ€œPima shinikizo […]

FEATURE
on May 18, 2023
150 views 31 secs

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameteua Majaji sita wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bi Zuhura Yunus leo tarehe 18 Mei, 2023 imesema uteuzi huo umeanza tangu tarehe 28 Aprili, 2023 na wateule hao […]

FEATURE
on May 18, 2023
162 views 4 mins

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria uzinduzi wa barabara ya Wasso โ€“ Sale yenye kilometa 49 wakati akiwa ziarani katika Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha Mei 17, 2023. Makamu wa Rais Dkt. Phillip Isdor Mpango amefungua Barabara ya Loliondoโ€“Mto Wa Mbu (km 217) Sehemu ya […]

FEATURE
on May 17, 2023
237 views 2 mins

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameunda tume ya watu 14 ambayo itachakata kero na mapendekezo ya wafanya biashara wa soko la kimataifa la Kariakoo. Ameunda tume hiyo leo Jumatano (Mei 17, 2023) wakati alipozungumza na wafanya biashara wa soko hilo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. Tume hiyo ambayo imepewa siku 14 kuja na […]