HABARI KUBWA

WASIRA AMJIBU ZITTO KABWE KUHUSU VIKAO VYA CHADEMA



Na Mwandishi Wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda.

Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia CCM basi waiambie Tume.

Akizungumza Leo machi 30 2025 katika mkutano wa hadhara mbele ya maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, Wasira alitumia nafasi hiyo kumjibu Zitto Kabwe ambaye akiwa Lindi alisema Wasira anajua historia hivyo kwa nini anabishana na CHADEMA badala ya kuzungumza.

“Mimi niliwaambia tuzungumze Tundu Lissu akasema tutawapotezea muda, sasa mtu ana muda wake na hataki upotee wewe umlazimishe kupoteza.

Tangaza hapa-3
Email
Twitter
META
WhatsApp

WASIRA AMJIBU ZITTO KABWE KUHUSU VIKAO VYA CHADEMA

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda. Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia

WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge

KITAIFA

UFUATILIAJI NA TATHIMINI IMEWEZESHA TARURA KUFIKIA MALENGO

Na Mwandishi wetu Zanzibar Imeelezwa kwamba mpango mzuri wa ufuatiliaji na tathimini umewezesha Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kufikia malengo ambayo wamejiwekea katika kutekeleza dhima ya taasisi hiyo ya kujenga na kufanya matengenezo

BIASHARA

WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WATUMISHI GST KUCHAPA KAZI

GST kujenga Maabara ya Kisasa jijini Dodoma* GST ni Moyo wa Sekta ya Madini Kufanya Utafiti wa kina kufikia asilimia 50 Na Madina Mohammed DODOMA WAMACHINGA Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde amewataka Watumishi wa Taasisi ya

KITAIFA

RAIS SAMIA ACHAMBUA SEKTA YA MADINI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -GEITA RAIS Samia Suluhu Hassan amesema sekta ya madini nchini inachangia asilimia 56 ya fedha yote ya kigeni inayoingia nchini kila mwaka, na hivyo ni sekta muhimu kwa ukuaji wa uchumi, Kauli