TANESCO YAANZA KAMPENI YA KUELIMISHA ELIMU YA USALAMA KWENYE MATUMIZI YA UMEME MIKOA YA KANDA YA ZIWA
SERIKALI YAAGIZA MAGEREZA KUPEWA RUZUKU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
GST YASAINI HATI YA MAKUBALIANO (MoU) NA TAASISI YA JIOSAYANSI NA RASILIMALI MADINI YA KOREA KUSINI KIGAM
UONGEZAJI THAMANI MADINI NI MKAKATI WA SERIKALI KUKUZA MCHANGO WA SEKTA ~ SAMAMBA
WASIRA AMJIBU ZITTO KABWE KUHUSU VIKAO VYA CHADEMA
Na Mwandishi Wetu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda.
Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia CCM basi waiambie Tume.
Akizungumza Leo machi 30 2025 katika mkutano wa hadhara mbele ya maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, Wasira alitumia nafasi hiyo kumjibu Zitto Kabwe ambaye akiwa Lindi alisema Wasira anajua historia hivyo kwa nini anabishana na CHADEMA badala ya kuzungumza.
“Mimi niliwaambia tuzungumze Tundu Lissu akasema tutawapotezea muda, sasa mtu ana muda wake na hataki upotee wewe umlazimishe kupoteza.
EWURA YASHINDA TENA TUZO YA UHUSIANO
TANESCO YAIBUKA KINARA TUZO ZA UBORA
TANESCO YASHINDA TENA TUZO ZA UBORA
SITA WAPANDISHWA KIZIMBANI WAKITUHUMIWA KUSAFIRISHA DAWA
MATEMBEZI YA GENERATION SAMIA (GEN-S) YAVUNJA


WASIRA AMJIBU ZITTO KABWE KUHUSU VIKAO VYA CHADEMA
Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda. Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia
WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu. Mbunge

RAIS SAMIA MGENI RASMI TUZO ZA KIMATAIFA ZA KUHIFADHI QURAAN

BARABARA YA ILOLO-NDOLEZI YAONDOA WALANGUZI WA MAZAO, MBOZI



MTANZANIA ATEKWA NCHINI NIGERIA
Mtanzania ambaye ni frateri wa Shirika la Wamisionari wa Afrika (White Fathers)
WIZARA YA ELIMU KUSOMWA BAJETI YAKE KESHO,MEI 07,2024
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof.


EWURA YASHINDA TENA TUZO YA UHUSIANO MWEMA NA VYOMBO VYA HABARI
Kwa mara ya pili mfululizo, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeshinda tena tuzo ya

GST YASAINI HATI YA MAKUBALIANO (MoU) NA TAASISI YA JIOSAYANSI NA RASILIMALI MADINI YA KOREA KUSINI KIGAM
• _*Watanzania kujengewa uwezo kwenye kada ya Jiosayansi na Utafiti wa Madini*_ 📍 *Seoul, Korea Kusini.* Wizara ya Madini

DCEA YAMNASA KINARA WA MIRUNGI,YATEKETEZA EKARI 285.5 SAME
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine

BILIONI 60 KULIPA FIDIA WANANCHI WALIOPITIWA MRADI WA RUHUDJI NA RUMAKALl
*📌Serikali ya Awamu ya Sita yapongezwa kupelekea Umeme Maeneo Korofi mwambao wa ziwa Nyasa* *📌 Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini yaipongeza REA na TANESCO* *📌 Zaidi ya asilimia 98 ya Vijiji vyote Njombe vina

WAZIRI SIMBACHAWENE AELEKEZA NAMNA BORA ZAIDI YA KUSHUGHULIKIA MASUALA YA KIUTUMISHI IKIWEMO BARUA ZA AJIRA MPYA
Na. Mwandishi Wetu- Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu, UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi kuhakikisha barua za walioshinda usaili na kupangiwa vituo

VIONGOZI WA TAGCO WATEMBELEA BANDA LA TMDA VIWANJA VYA SABASABA
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA

RC CHALAMILA DAR IKO SALAMA AWATOA HOFU WANANCHI WA DAR ES SALAAM
-Awatoa hofu wananchi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April 23, 2024 ametembelea na kukagua maeneo yaliyoathirika na mvua katika Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es
WAZIRI BASHUNGWA: SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIKOSI VYA JESHI
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa (Mb) amesema Wizara inaendelea kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi na kuboresha miundombinu mbalimbali kwenye vikosi vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ikiwemo ukarabati

TARURA:PAIPU KALAVATI ZASAMBAZWA KURUDISHA MAWASILIANO BARABARA KILIMANJARO
Kilimanjaro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kilimanjaro wamenunua na kusambaza paipu kalavati kwaajili ya kurudisha mawasiliano kwenye madaraja yaliyokatika wakati wa mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Meneja wa TARURA mkoa


ZRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO ZANZIBAR

ZRA YASHAURI WAHARIRI KUWAJENGEA UWELEDI WAANDISHI

ZRA YAKUSANYA BILIONI 76 OKTOBA
