HABARI KUBWA

DKT NCHIMBI AWATAKA WANACCM KILA MMOJA KUTAFUTA KURA 10 ZA USHINDI WA KISHINDO



Na mwandishi wetu..

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema CCM inaingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa kikiwa na imani kubwa ya Watanzania kutokana na uimara wa chama na uongozi wa Mwenyekiti wake, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Amesema kuwa uimara wa CCM unatokana na wingi na umakini wa wanachama wake, akitoa takwimu jinsi wanachama wapatao milioni 8 wa CCM walivyojitokeza kupiga kura wakati wa mchakato wa ndani ya chama hicho kupata wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Balozi Nchimbi amesema mtaji wa imani ya Watanzania, utumishi wa CCM kupitia sera zake, na uongozi.

Tangaza hapa-3
Email
Twitter
META
WhatsApp

DKT NCHIMBI AWATAKA WANACCM KILA MMOJA KUTAFUTA KURA 10 ZA USHINDI WA KISHINDO

Na mwandishi wetu.. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema CCM inaingia kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa kikiwa na imani kubwa ya Watanzania kutokana na uimara wa chama na uongozi wa Mwenyekiti wake, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Amesema kuwa uimara wa CCM

WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge

CCM FUNGA KAZI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa_  Katibu Mkuu Balozi Nchimbi kuongoza kampeni za uchaguzi Serikali za Mitaa leo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John

Soma Zaidi
KIMATAIFA

AIR TANZANIA CARGO KUWASILI NCHINI JUNI 3

Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ndege ya mizigo inatarajia kufika nchini Juni 3 mwaka huu na kuwa Juni 1, 2023, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe.

BURUDANI

GRAND GALA DANCE:KUTIMUA KIVUMBI SIKU YA NANENANE MBEYA

Katika kuhakikisha Wakazi wa mkoa wa Mbeya wanapata burudani, Grand Gala Dance wameandaaa tamasha lakusheherekea siku ya mkesha wa Nane Nane jijini Mbeya. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mratibu wa tamasha hilo

KITAIFA

KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU ASEMA TUKUTANE TANGA

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza kuanza kwa Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal na ukumbi wa mikutano

KITAIFA

COSTECH KUSHIRIKIANA NA VETA ZA MFURAHISHA WAZIRI MKENDA

WAZIRI wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda ameonyesha kufurahishwa na bunifu zinazofanywa na Tume ya Sayansi na Teknlojia (COSTECH) pamoja na Mamlaka ya Ufundi Stadi (VETA) huku akitoa rai kwamba ubunifu hizo sasa ziingie sokoni