HABARI KUBWA

WASIRA AMJIBU ZITTO KABWE KUHUSU VIKAO VYA CHADEMA



Na Mwandishi Wetu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda.

Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia CCM basi waiambie Tume.

Akizungumza Leo machi 30 2025 katika mkutano wa hadhara mbele ya maelfu ya wananchi wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, Wasira alitumia nafasi hiyo kumjibu Zitto Kabwe ambaye akiwa Lindi alisema Wasira anajua historia hivyo kwa nini anabishana na CHADEMA badala ya kuzungumza.

“Mimi niliwaambia tuzungumze Tundu Lissu akasema tutawapotezea muda, sasa mtu ana muda wake na hataki upotee wewe umlazimishe kupoteza.

Tangaza hapa-3
Email
Twitter
META
WhatsApp

WASIRA AMJIBU ZITTO KABWE KUHUSU VIKAO VYA CHADEMA

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda. Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia

WAZIRI MKUU: TUNATAKA KILA MWANANCHI APATE KITAMBULISHO CHA TAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Serikali ni kumwezesha kila Mtanzania apate kitambulisho cha Taifa akiwa kijijini kwake. Amesema hayo leo (Alhamisi, Mei 11, 2023) bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Biharamulo Magharibi, Mhandisi Ezra Chiwelesa kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu.  Mbunge

KITAIFA

DKT BITEKO SERIKALI ITAENDELEA KUTUMIA TEHAMA KUKUZA MAENDELEO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lengo ni kuimarisha uchumi wa kidijitali Sekta binafsi yatakiwa kuchangamkia fursa Azindua Mpango wa Ujuzi wa Kidigitali kwa Wote – Digi Truck Serikali itaendelea kutoa kipaumbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari

BIASHARA

KUFANYA KAZI USIKU SIO JAMBO JIPYA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila  amewataka wananchi na wafanyabiashara wote kuunga mkono ufanyaji biashara saa 24 Dar es Salaam na siyo kupinga kama ilivyo kwa baadhi ya watu

KITAIFA

TUNATEGEMEA MAFANIKIO MAKUBWA REA-BODI MPYA

Na Veronica Simba – REA Bodi ya Nishati Vijijini (REB) inayosimamia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imesema inategemea mafanikio makubwa katika kuiwezesha Wakala hiyo kutimiza azma yake ya kuwafikishia wananchi walioko vijijini nishati bora za umeme,