KITAIFA, Uncategorized
July 16, 2023
247 views 2 mins 0

KINANA APONGEZA UAMUZI WA RAIS SAMIA MIPANGO KUWA,WIZARA MAALUMU

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana amepongeza uamuzi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Hassan wa kuunda wizara inayohusika na mipango. Pia, amepongeza hatua ya kuifanya Tume ya Mipango kuwa chini ya ofisi ya Rais ambapo amesema itaongeza kasi na uhakika wa mipango ya maendeleo nchini. Kinana ameyasema hayo jana […]

Uncategorized
July 14, 2023
258 views 41 secs 0

WAZIRI DKT. GWAJIMA AFUNGUA KONGAMANO LA WANAWAKE -GWAT DAR.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameendelea kutoa wito kwa jamii hasa wanawake kuwa chachu ya mabadiliko chanya kwa ustawi wa Taifa. Akifungua kongamano la kujengea uwezo Wanawake lililoandaliwa na Taasisi ya “Godly Women Ambassadors Tanzania”(GWAT) katika Kanisa La Agape Life Church (ALC) Mbezi Beach, Dar Es […]

Uncategorized
July 13, 2023
265 views 57 secs 0

MWANAMITINDO MTANZANIA KUITANGAZA ADIDAS DUNIANI.

Kampuni ya mitindo ya mavazi inayomiliki chapa ya Adidas imeingia mkataba wa matangazo ya mitindo ya mavazi na Mwanamitindo kutoka Tanzania, Zuhura Bedel Said maarufu Zara. Zara anayetoka Zanzibar ameingia mkataba huo hivi karibuni baada ya kuwepo kwenye kumi bora, ambapo ataitangaza chapa ya Adidas kupitia mitindo ya mavazi. Habari hiyo ilithibitishwa na Balozi wa […]

KITAIFA, Uncategorized
June 24, 2023
192 views 3 mins 0

MSIGWA:Mkataba huu ni wa ushirikiano serikali na serikali

Msemaji mkuu wa serikali Leo tarehe 24 jumamosi juni 2023 ameongea na waandishi wa habari Katika ofisi za idara ya habari maelezo zilizopo posta Jijini Dar es salaam Akizungumzia juu ya maswala ya uwekezaji bandarini. Msigwa amesema Hali ya nchi yetu Kwa ujumla ipo shwari serikali inazidi kutoa huduma za kijamii kama kawaida ambazo ni […]

KITAIFA, Uncategorized
June 21, 2023
447 views 39 secs 0

MPOGOLO:Wilaya ya Ilala inalisha MKOA mzima WA Dar es salaam

Akizungumza Jijini Dar es salaam Katika soko hilo la samaki feri mkuu wa wilaya ya Ilala Edward mpogolo amesema wakati akitoa changamoto nyingi Katika soko hilo amesema Halmashauri ambayo Kwa nchi nzima hakuna Halmashauri yenye mapato mengi Zaidi ya Ilala inamapato mengi Zaidi ya shilingi billion 81 na ndio inayolisha MKOA mzima WA Dar es […]

Uncategorized
June 20, 2023
539 views 4 mins 0

Waziri mkuu: Serikali haitodharau maoni na ushauri WA watanzania kuhusu bandari

WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu ameyasema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 40 ya chuo cha International Evangelism Centre kilichoko Sakila jijini Arusha. Amesisitiza […]