NAIBU WAZIRI MKUU, WAZIRI WA NISHATI DKT DOTO BITEKO KUFUNGUA MAONESHO YA SITA YA MADINI GEITA
NAIBU Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati DKT.Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonesho ya Sita ya teknolojia ya Madini mkoani Geita yatakayofunguliwa Septemba 23 mwaka huu katika Halmashauri ya Mji wa Geita huku Rais DKT.Samia Suluhu Hassan akitarajiwa kufunga maonyesho hayo. Akizungumza na waandisi wa habari katika viwanja vya […]