Uncategorized
March 22, 2025
21 views 3 mins 0

BARAZA LA SABA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA NISHATI LAKUTANA DODOMA

*📌 Dkt. Kazungu asema Wizara itaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati.* *📌 Baraza lapitisha rasimu ya bajeti ya 2025/2026 .* 📌 Hoja za TUGHE zajadiliwa kwa kina na kupatiwa ufumbuzi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu leo Machi 22, 2025 amefungua Baraza la saba la Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati ambalo limepitia […]

Uncategorized
February 02, 2025
58 views 2 mins 0

SERIKALI YA AWAMU YA SITA IMETUHESHIMISHA JUMIKITA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Waandishi wa Habari wa Kimtandao Tanzania (JUMIKITA), Shaabani Matwebe, amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imewapatia waandishi wa habari wa mtandaoni nafasi kubwa ya kushiriki katika shughuli za kitaifa, tofauti na ilivyokuwa awali. Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na Star TV, […]

Uncategorized
October 12, 2024
145 views 53 secs 0

UWT IPO NA RAIS SAMIA UHAMASISHAJI MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA-CHATANDA

Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI Nia ni watanzania wengi zaidi watumie nishati safi ya kupikia* Asema UWT itaendelea kuishauri Serikali uwepo ya mitungi ya gesi ya gharama nafuu zaidi* Wanawake na watoto watajwa kuwa waathirika wakubwa matumizi ya nishati isiyo safi* Mwenyekitiwa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UWT), Mary Chatanda amesemaJumuiya hiyo itaendelea  […]

Uncategorized
September 24, 2024
165 views 38 secs 0

EWURA MWENYEJI MKUTANO WA MAMLAKA ZA KUDHIBITI KUSINI MWA AFRIKA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imekuwa mwenyeji wa vikao vya Kamati ndogo za Umoja wa Mamlaka za Udhibiti wa Sekta ya Nishati Kusini mwa Afrika (RERA) vilivyoanza rasmi leo, tarehe 23 Septemba 2024 visiwani Zanzibar.  Mamlaka za Udhibiti kutoka Angola, Botswana, Afrika Kusini, Namibia, Lesotho, Eswatini, […]

Uncategorized
September 11, 2024
205 views 4 mins 0

KAMATI YA SIASA IMEFANYIKA KUKAGUA MIRADI YA KIMAENDELEO HUKO PEMBA

ZIARA ya kikazi imefanywa kukagua miradi ya kimaendeleo katika kata ya Pembamnazi iliyopo wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es salaam ikuhusisha maeneo muhimu katika jamii ikiwemo Elimu, Afya na miundombinuhuku ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM )kata Ndg.Muharami Rajabu na Diwani wake Lyona Ramadhani Ziara hiyo imefanyika Septemba 10.2024 na akiongea wakati anakagua […]

Uncategorized
August 20, 2024
400 views 2 mins 0

Bandari Waokoa Dola Milioni 600 kwa Mkataba wa DP World

Serikali Yaokoa dola milioni 600 Chini ya Uongozi wa Rais Samia miezi minne ya kazi DP World Bandarini. Uwekezaji bandarini chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, umeanza kuonyesha matunda makubwa baada ya serikali ya Tanzania kuokoa kiasi cha dola milioni 600 katika miezi minne tu tangu kuanza kwa mkataba na DP World. Kupungua […]

Uncategorized
December 28, 2023
232 views 6 mins 0

TAMASHA LA KILIMANJARO CULTURAL FESTIVAL KUKUZA UTALII MKOANI KILIMANJARO

Na Happiness Shayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival linalohusisha utamaduni wa vyakula ,ngoma na lugha za asili za jamii ya Wachaga, Wapare na Wamaasai litasaidia kukuza utalii wa Mkoani Kilimanjaro endapo litaendelezwa na kutumika ipasavyo. Amesema lengo la Tamasha hilo ni kukuza na kuhamasisha utalii […]

Uncategorized
November 26, 2023
306 views 3 mins 0

WATANZANIA TUSHIRIKIANE KUTOKOMEZA UKATILI WA KIJINSIA MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii ya watanzania kushirikiana na serikali na asasi za kiraia kupambana na matendo ya ukatili dhidi ya wanawake watoto na wenye ulemavu. Amesema ili kupata matokeo ya haraka, wanajamii wahusishwe kuanzia hatua ya upangaji wa mikakati ambayo itatumika kutekeleza afua zinazohusu jamii yao. “Namna hii itawawezesha kuzikubali afua […]

Uncategorized
October 17, 2023
367 views 33 secs 0

DAWASA WAFANYA UKAGUZI WA JENGO LAO JIPYA LA “DAWASA YETU”

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Ndugu Kiula Kingu amefanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la “Dawasa yetu” lililo fikia asilimi 90 hatua za mwisho za utekelezaji. Amezungumza hayo Wakati wa ziara yake Aliyoifanya Jijini Dar es salaam amesema wamefurahishwa na maendeleo […]