BODI YA TAWA YAHIMIZA MAOFISA WAKE KUONGEZA UMAHIRI ILI KUENDANA NA KASI YA UWEKEZAJI MAHIRI
Na Mwandishi wetu, Serengeti. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amewataka Maofisa na askari wa Mapori ya akiba Ikorongo na Grumeti kuongeza umahiri katika utendaji kazi ili kuendana na kasi ya uwekezaji mahiri (SWICA) uliofanyika ndani ya hifadhi hizo zilizoko wilaya za […]