MICHEZO
August 01, 2024
211 views 52 secs 0

GAMONDI:KUMPATA MCHEZAJI KAMA MZIZE ANAETUMIA MIGUU YOTE NI NADRA SANA

Na Anton Kiteteri .Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema anaelewa juhudi za Mzize kiwanjani hasikilizi maneno ya mashabiki ataendelea kumtumia kwasababu kile anachomuelekeza anafanya huku akiweka wazi kuwa suala la kufunga hakuna mchezaji anafundishwa inatokea tu. “Mbinu zote ninazomuelekeza anazifanya na amekuwa mchezaji ambaye anafanya mambo mengi uwananjani huwa sisikilizi nini kinasemwa naangalia nini […]

MICHEZO
July 29, 2024
301 views 51 secs 0

MHANDISI HERSI ASEMA KAMWE YUPO SANA DAR YOUNG AFRICAN

Na Anton Kiteteri WAMACHINGA DAR ES SALAAM Wakati aliyekuwa msemaji wa mabingwa wa soka nchini na mabingwa wapya wa kombe la Toyota  Yanga ,ndugu Ally Kamwe kutangaza kujiuzuru nafasi hiyo hapo jana ,rais wa timu hiyo Mhandisi Said Hersi amesema taarifa hizo  hazitambui. “Sina taarifa za Alli Kamwe kuachia ngazi,nilichoelewa ni kwamba inaonekana alikuwa anacheza […]

MICHEZO
July 17, 2024
244 views 2 mins 0

KLABU YA YANGA YAOMBA KESI IPELEKWE MBELE KWA UCHUNGUZI ZAIDI

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA “Mnamo tarehe 6/11/2022 watu wawili waliojiita Wanachama wa Young Africans SC walifungua kesi Mahakama ya Kisutu, Bwana. Juma Ally pamoja na Geofrey Mwipopo. Walifungua kesi dhidi ya Wajumbe wa Baraza la Wadhamini ambao ni Mama yetu Fatma Karume, Abeid Mohamed Abeid na Mzee Jabir Katundu kwa madai ya kuwa hawalitambui baraza […]

MICHEZO
July 10, 2024
566 views 40 secs 0

JOHN BOCCO ATIMKIA JKT TANZANIA

KLABU ya JKT Tanzania imetangaza kumsajili mkongwe John Bocco kwa ajili ya msimu wa 2024/25 kwa mkataba wa mwaka mmoja. Simba ilimkabidhi majukumu Bocco kuwa kocha mkuu wa kikosi cha Vijana wenye umri chini ya miaka 17 msimu wa 2023/24 ukielekea ukingoni. “Hakuna muda wa kupoteza 💪 “TOP SCORER OF ALL TIME” ameshaanza mazoezi,”imesema taarifa […]

MICHEZO
July 05, 2024
316 views 3 mins 0

WAZIRI MKUU AZINDUA KAMATI YA KITAIFA AFCON 2027

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 05, 2024 amezindua Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) na kuahidi kuwa Serikali itafanya nayo kazi kwa karibu ili iweze kufanikisha malengo ya Tanzania kufanya vizuri kwenye michuano hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo kwenye hafla […]

KIMATAIFA, MICHEZO
June 26, 2024
315 views 23 secs 0

NYOTA WA ZAMANI WA  ARSENAL THIERY HENRY KUTEULIWA KOCHA WA WALES

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Ufaransa Thierry Henry ni miongoni mwa majina yanayotajwa kuchukua nafasi ya Rob Page kama meneja wa Wales. Henry, ambaye amewahi kuinoa Monaco na Montreal Impact, anasimamia kikosi cha Ufaransa chini ya umri wa miaka 21 na anajiandaa kuiongoza timu ya Olimpiki ya nchi yake kwenye Michezo huko Paris mwezi […]

BIASHARA, MICHEZO
June 09, 2024
482 views 0 secs 0

DIAMOND PLATINUM KUMTAMBULISHA MSHINDI WA MILION 20 KUTOKA TABORA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wasafi Bet Wamtambulisha mshindi wa milioni 20 ambaye anayetokea Tabora Saidi Daudi pia amesindikiwa na washindi watano walioweza kujishindia simu janja ya SMART PHONE Saidi amejishindia pesa hizo Kwa bet ambayo aliyoweza kucheza na kubashiri na kuingia Katika droo hiyo na baadhi Yao walishinda shilingi 10000 Kwa kila […]

KITAIFA, MICHEZO
May 24, 2024
167 views 5 secs 0

RAIS DKT MWINYI AKUTANA NA RAIS WA CAF

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru  uongozi wa Shirikisho la Soka Afrika(CAF)  kwa kuifanya Zanzibar kuwa mmoja ya waandaaji wa Mashindano ya African Football Championship  mwaka huu. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipokutana na Rais wa Shirikisho la  Soka barani Afrika (CAF), Dk.Patrice Motsepe  […]

KITAIFA, MICHEZO
May 22, 2024
221 views 25 secs 0

DC MPOGOLO AFUNGUA UMISSETA WILAYA YA ILALA

Na Mwandishi wetu Wamachinga Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mkoani Dar es salaam, Edward Mpogolo, amefungua mashindano ya Umoja wa Shule za Sekondari-UMISSETA Wilaya ya llala Mashindano hayo yameshirikisha wanafunzi kutoka Majimbo ya Ilala, Segerea na Ukonga kwa ajili kuunda timu ya Wilaya Ilala. Watakaochaguliwa wataunda timu ya kanda itakayokwenda ngazi ya Mkoa wa Dar […]

MICHEZO
March 25, 2024
389 views 52 secs 0

ALLY KAMWE:MAMELODI KUKIONA TAREHE 30

DAR ES SALAAM: BAADHI ya wachezaji wa Yanga waliokuwa kwenye kambi ya timu ya taifa ‘Taifa Stars’ wamerejea nchini kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Taarifa iliyotolewa leo na ofisa habari wa klabu hiyo, Ali Kamwe amewataja wachezaji hao kuwa ni Clement Mzize, Mudathir Yahya na Ibrahim Bacca. “TFF wameruhusu baadhi ya wachezaji […]