TOTTENHAM KUMNUNUA KIUNGO WA KATI WA MAREKANI JOHNNY CARDOSO
Mazungumzo yanaendelea kati ya Chelsea na AEK Athens kuhusu uhamisho wa mshambuliaji wa Ivory Coast David Datro Fofana, 21. (Mail) Tottenham wamefanya mazungumzo ya kumnunua kiungo wa kati wa Marekani Johnny Cardoso, 22, kwa £21m kutoka Real Betis. (Telegraph – Subscription Required) Kiungo wa kati wa zamani wa Liverpool Naby Keita, 29, yuko kwenye mazungumzo […]