MICHEZO
March 17, 2025
46 views 2 mins 0

WATEMBEZI WA MIGUU WATEMBEA KUTOKA KIGOMA MPAKA KIZIMKAZI KUMFATA RAIS SAMIA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Shirika la Kijamii linaloitwa APHI FOUNDATION,  lenye makao makuu Jijini Mwanza linaendelea na matembezi yao ya Hisani waliyoyaratibu na sasa wamevuka Jijini Dar es Salaam na muelekeo ni Visiwani Zanzibar lengo ikiwa nikufika mpaka Kizimkazi alipozaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi mtendaji […]

MICHEZO
March 14, 2025
31 views 43 secs 0

UWANJA WA MPIRA WA MIGUU WA ARUSHA KUDUMU MIAKA 130

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kudumu miaka 130 huku ukiwa unafanyiwa marekebisho kila baada ya miaka 10. Mhe. Mwinjuma ameyasema hayo wakati wa ziara ya kamati ya kudumu ya Bunge ya […]

MICHEZO
February 14, 2025
68 views 3 mins 0

UWANJA WA MPIRA WA KIMATAIFA WA DODOMA KUBEBA WATAZAMAJI ZAIDI YA ELFU 32

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Palamagamba Kabudi, leo Februari 13, 2025, ameshuhudia utiaji saini Mkataba wa kuanza rasmi Ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu utakaokuwa na uwezo wa kuketisha watazamaji 32,000 kwa mara  moja katika eneo la Nzuguni Jijini Dodoma. Akizungumza na hadhara iliyojitokeza kushuhudia tukio […]

MICHEZO
January 22, 2025
85 views 2 mins 0

ASKOFU MUSOMBA: JITOKEZENI KWA WINGI KUSHIRIKI PUGU MARATHON

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ASKOFU Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam Mhashamu Stephano Musomba ametoa wito kwa jamii kujitokeza kwa wingi na kuhakikisha wanajiandikisha kushiriki Pugu Marathon 2025 itakayofanyika Mei 31, mwaka huu katika viwanja vya Hija Pugu Jimbo kuu la Dar es Salaam. Mhashamu Musomba ametoa wito huo wakati akizungumzia na waandishi […]

MICHEZO
January 15, 2025
75 views 2 mins 0

WATANZANIA KUNUFAIKA NA MASHINDANO YA CHAN 2025, AFCON 2027

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌Mashindano yameipa heshima Tanzania kimataifa 📌Rais Samia kinara wa Michezo nchini Watanzania watanufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi na kijamii zitakazopatikana kuelekea mashindano ya CHAN 2025 na AFCON 2027. Hayo yamebainishwa leo Januari 15, 2025 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akifungua Kongamano la […]

MICHEZO
December 04, 2024
166 views 33 secs 0

‘GENERATION’ SAMIA YAIBUKA NA KISHINDO

Na mwandishi wetu … Dodoma Programu mpya ya vijana inayojulikana kama Generation Samia (Gen S) imezinduliwa rasmi, Desemba 2, 2024, jijini Dodoma, kwa lengo la kuwaunganisha vijana wa Kitanzania kutoka sekta mbalimbali na kuwajengea mtandao wa fursa za maendeleo.  Akizungumza katika uzinduzi huo, msemaji wa @Gen_samia, Sonata Nduka, amesema programu hiyo inalenga kuwa chachu ya […]

MICHEZO
November 30, 2024
105 views 2 mins 0

TANZANIA YAPANDA KENYA YASHUKA KATIKA ORODHA MPYA YA FIFA DUNIANI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Harambe StarsTimu ya taifa ya Kenya ya mpira wa miguu Harambee Stars imeshuka kwa nafasi mbili katika viwango vya hivi punde vya Fifa vilivyotolewa Alhamisi na shirikisho hilo la soka duniani. Timu ya taifa ya kandanda sasa iko katika nafasi ya 108, chini kutoka nafasi ya 106 iliyokuwa nayo Oktoba. Kushuka […]

MICHEZO
November 26, 2024
98 views 2 mins 0

MAJALIWA AHITIMISHA JIMBO CUP RUANGWA.

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kiwengwa FC yaibuka bingwa wa michuano hiyo. Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo maarufu Jimbo cup kati ya Stand fc na Kiwengwa FC uliofanyika katika uwanja wa mpira wa miguu wa Majaliwa, Ruangwa Mkoani Lindi. Katika mchezo huo uliopigwa […]

MICHEZO
November 25, 2024
139 views 15 secs 0

NCAA YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA RIADHA SHIMMUTA TANGA 2024

Na Mwandishi wetu, Tanga Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeibuka mshindi wa jumla katika riadha kwa wanawake kwenye mashindano ya SHIMMUTA 2024 yaliyohitimishwa Mkoani Tanga tarehe 24 Novemba, 2024. Katika mashindano hayo NCAA iliwakilishwa na wanariadha watatu ambapo Juliana Lucas aliibuka mshindi wa kwanza kwenye mbio za mita 200 na mshindi wa pili kwenye […]

MICHEZO
November 24, 2024
113 views 2 mins 0

TAWA YAIDHIBITI NCAA SHIMMUTA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TANGA Yaibuka Mshindi wa 3 Mchezo wa Kuvuta Kamba (Me) Timu ya wavuta kamba (Me) ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) leo Novemba 23, 2024 imeibuka mshindi wa 3 katika mchezo wa Kuvuta Kamba baada ya kuishinda timu shindani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) katika mashindano ya […]