JUA SABABU 69 ZA MWARUBAINI KUWA TIBA MATAIFA YOTE NCHINI
1. Kwa Waswahili unaitwa Mwarobaini kwa sababu unatibu magonjwa arobaini. 2. Kwa Wahindi unaitwa Duka la Dawa la Kijiji kwa sababu unatibu magonjwa zaidi ya 100. 3. Kuanzia mizizi, magome, matawi, majani, maua mpaka mbegu ni dawa! Ukiupanda unakaa miaka 200! 4. Mti huu upo karibu kila kona ya Dunia. Kwa Tanzania upo mwingi Dodoma! […]