FEATURE
on Apr 16, 2024
301 views 44 secs

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki anatarajia kumwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo utakaofanyika Aprili 16-18,2024  jijini Washngton DC nchini Marekani. Mkutano huo pamoja na mambo mengine utajadili masuala mbalimbali ikiwemo  namna […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 16, 2024
307 views 2 mins

Na Madina Mohammed Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt  Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara nchini Uturuki kwa lengo la kukuza Uhusiano wa Kidiplomasia ya kisiasa, uchumi na biashara kati ya nchi hizo mbili . Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam tarehe 15 April 2024 Waziri wa Mambo ya Nje […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 16, 2024
253 views 2 mins

Na. Beatus Maganja Timu ya Maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka madhara yatokanayo na mamba na viboko kwa wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani humo. Hayo yamesemwa leo na Afisa habari wa TAWA Beatus Maganja alipokuwa akiongea […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 14, 2024
361 views 31 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM TMDA  imetoa taarifa Kwa umma kuwa Kuna taarifa inayosambaa Katika mitandao ya kijamii “Whatsapp”Kuhusu uwamuzi wa mamlaka za udhibiti wa dawa (national Medicine Regulator Authorities)za nchi kadhaa barani Afrika kuzuia matumizi na kuondoa (recall)Katika masoko Yao Kwa dawa duni ya maji aina ya Benylin Pediatrics syrup iliyotengenezwa mwezi Mei […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 13, 2024
380 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Dawa na vifaa tiba nchini (TMDA ) kupitia kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma imeshinda tuzo ya Umahiri katika Mawasiliano ya umma iliyobeba dhima ya “The best winner in media relations category for the year 2023 ” ikiwa na maana mshindi wa Tuzo ya Kundi la […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 8, 2024
269 views 2 mins

Na mwandishi wetu IMEBAINISHWA kuwa kuwepo kwa matukio ya majanga kwa miaka mingi ya hivi karibuni imeonesha uwezo mdogo wa kukabiliana na majanga pamoja na kuchukua tahadhari za majanga mbalimbali ikiwemo ajali na moto kutoka kitengo cha maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Kivuli […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 8, 2024
450 views 3 mins

MOROGORO *📌Hayati Sokoine alikuwa mstari wa mbele kukemea rushwa na ufisadi* *📌Anakumbukwa kama kiongozi aliyepigania maendeleo ya taifa.* *📌Dkt. Biteko asisitiza Sekta ya Kilimo iwe kimbilio* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanapaswa kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuinua uchumi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 6, 2024
419 views 3 mins

BABATI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Dareda hadi Dongobesh (km 60) sehemu ya kwanza ya Dareda Mjini hadi Dareda Missioni (km 7) ili kuufungua kiuchumi Mkoa wa Manyara. Bashungwa amezungumza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 6, 2024
245 views 37 secs

Na Mwandishi Wetu RUFIJI Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff ameagiza timu ya wataalamu wa TARURA Makao Makuu na ya Mkoa wa Pwani kufanya mapitio ya usanifu wa daraja la Bibi Titi Mohammed-Mohoro linalotarajiwa kujengwa wilayani hapa. Mhandisi Seff ameyasema hayo mara baada ya kufanya ukaguzi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 6, 2024
298 views 38 secs

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia Idara ya Mawasiliano imeshinda tuzo ya Umahiri katika Mawasiliano ya umma iliyobeba dhima ya “The Best use of Influencers  Category for the year 2023” , hafla iliyofanyika usiku  wa tarehe 05.04.2024 katika Ukumbi wa St. Peter’s jijini Dar es Salaam, tuzo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...