Na Mwandishi Wetu Asema limepunguza athari za mafuriko Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya Gesi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa licha ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, Bwala la Umeme la Julius […]
Na Mwandishi Wetu DODOMA Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jonsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameiasa jamii kuona umuhimu wa malezi bora kwa watoto ndani ya familia kama chanzo cha jamii. Ametoa wosia huo Aprili 18, 2024 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa Habari ikiwa ni kuelekea maadhimisho ya Siku ya […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dar es Salaam Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kushirikiana na Wilaya ya Kinondoni wamekutana na kupanga mkakati wa kutunza mitaro inayojengwa katika barabara Wilayani humo. Hayo yamebainishwa katika kikao cha pamoja kati ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, Meneja wa TARURA Mkoa wa wa Dar es Salaam […]
Na Mwandishi Wetu TANGA Unamilikiwa na Watanzania kwa asilimia 100 Utafiti umebaini uwepo wa mashapo ya dhahabu kiasi cha tani 21.7 Kampuni ya PMM Tanzania Limited inayomiliki mgodi wa Magambazi imeanza shughuli za uzalishaji madini ya dhahabu ambapo kuanzia Agosti 2024 mgodi huo unatarajiwa kuzalisha kilo 25 za dhahabu kwa mwezi. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mwenyekiti wa jukwaa la wanahabari wa mitandao ya kijamii Tanzania JUMIKITA Shabani Matwebe Amesema Nawashukuru watanzania kwasababu badala ya kutoa taarifa ya kuonyesha sasa tunatakiwa tuonyeshe tunachukia, tunakataa na kukemea matusi mitandaoni mapokeo yamekua ni mazuri Hayo ameyasema Leo Tarehe 17 April 2024 Mwenyekiti wa jukwaa la wanahabari wa […]
Na. Catherine Sungura-Dodoma Katika mwaka 2024/25, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 841.19 kwa ajili ya ujenzi, matengenezo na ukarabati wa miundombinu ya barabara za wilaya. Kati ya fedha hizo shilingi bilioni 257.03 ni za Mfuko wa Barabara, shilingi bilioni 127.50 Mfuko Mkuu wa Serikali, shilingi bilioni 325.77 ni za tozo ya […]
Na Mwandishi Wetu Wananchi wa Kijiji cha Kwedikwazu kilichopo wilayani Handeni mkoa wa Tanga wameipongeza Serikali kwa hatua mbalimbali zinazoendelea kufanyika ili kuleta maendeleo ya Kudumu kupitia Sekta ya Madini. Hayo yamebainishwa na Katibu wa Kikundi cha Wanawake cha Mwanzo Mgumu, Bi Saumu Kisaka wakati akizungumza na timu ya Maafisa Habari wa Wizara ya Madini […]
Na. Beatus Maganja Wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani Rufiji wameiona thamani na umuhimu wa uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA baada ya leo Aprili 16, 2024 kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa taasisi hiyo yenye thamani ya shillingi millioni 20 ikiwemo tani 6.4 za unga wa sembe, Kilo 666 za maharage na […]
Na Mwandishi Wetu DODOMA Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Taasisi zilizo chini yake, Mikoa 26 ikijumuisha Halmashauri 184 zimeomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2024/25 yenye jumla ya shilingi trilioni 10.125. Kwa mwaka 2023/24, Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliidhinishiwa bajeti ya trilioni 9.18, kati ya fedha hizo, trilioni 3.52 ni fedha za […]
Na Madina Mohammed WAMACHINGA 📌 *Amshukuru Rais Dkt. Samia kwa nyenzo na maelekezo* 📌 *Ahadi ya Rais ya umeme wa kutosha yatimizwa, sasa hakuna mgawo wa umeme* 📌 *Aziwashia taa nyekundu kampuni tanzu za TANESCO* 📌 *Ataka Wataalam kutumia maonesho kutatua kero si kurekodi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko […]